kutokea hapo terminal chukua tax mwambie akushushe kinondoni studio,utanikuta hapo nakusubiri cc Evelyn Salt
kumbuka bila kufika kariakoo utakuwa hujafika dar,teh tehNgoja nimalize mishe mishee tutajuua
Nipo saaana tuuu. Ni wewe tuu
Nipo saaana tuuu. Ni wewe tuu
Ewaaa, mtu na nduguye hula pamoja kitu kizuri.... .Hata kama ni kidogo.
Athanteeee sasa wenyeji nawaonea wapii wajamenii
whaaaat? is this true coming to excel au ni bahati mbaya?
we tuelekeze ulipo tuje tukufate tunguzungushe mitaa yote tu
Hata mimi nikija Dar utanidhungusha? Manaake mi sijawahi fikaga huko .
Nadunduliza nauli nije nimtembelee Shangazi yangu DEMBA , aliniambia anaishi Mwenge mtaa wa Temeke , karibu na Buguruni opposite na Mbezi beach .
we ile wapande basi nishtue tu mie utanikuta Terminal nakusubiria..........
Shangazi yako DEMBA zamani si alikuwa anakaa Vingunguti Kwa Simba karibu na ile barabara
ya kuelekea Tegeta Kibaoni ina maana alishahama