HodI deep thinker

gkalunde

Senior Member
Joined
Mar 30, 2011
Posts
108
Reaction score
13
Nimeamua kujipenyeza ndani ya bahari ya jamii hii iliyo staarabika na kutoa michango inayotupanua kifikra na kutufanyatufikiri kwa mapana mambo mbalimbali.hongereni wanajamvi.
 
karib bana. ka redio ketu kamemaliza betri , tunasikitika hatutoweza kukukalibisha kwa mziki.
 
penyapenya hadi chumbani
 
karibu sana mpaka uani,kuwa makini usije pitiliza mpaka chumbani kwa jirani maana hizi nyumba zetu za uswahilini zina mambo
 
Nimeamua kujipenyeza ndani ya bahari ya jamii hii iliyo staarabika na kutoa michango inayotupanua kifikra na kutufanyatufikiri kwa mapana mambo mbalimbali.hongereni wanajamvi.

Karibu sana jamvini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…