Kule Iringa kuna mzungu mmoja anavaa magunia na kutembea peku. Wale sijui ni dhehebu gani lakini wanadai wanaishi kama alivyoishi Yesu, jamaa ana midevu ya kutisha.
To be honest, nilipokutana nae for the first time nilikimbia kabisaa mpaka madereva tax wa pale Posta waliponambia kuwa ni mtu wa kawaida hahahaaa!
Mzungu kutembea peku, kavaa gunia na midevu kama hiyo picha hapo teh teh nilijua nimekutana na zimwi