Blue G nilitembea kwa kuchechemea......ilibidi wahudumu wanishike mpaka kwene gari......nilisema muscles zimenishika....🙂
Tatizo nimekariri...si unajua tena. Hasante kweli itabidi ni edit hobbie.
Hahahaha aisee me story zako tu huwa zinaifanya siku yangu iwe murua. Tuache kukariri hobbies mweee
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums