Bishop Hiluka
R I P
- Aug 12, 2011
- 7,150
- 14,730
Huu ni ushenzi
hilo tofali la huyo mjeshi likimdondokea hafiki huko wanakompeleka
watu bara hili wamelaaniwa hakika
Daah, ni kosa gani alofanya huyu binadamu kiasi cha kustahili adhabu hii?!
Afrika kubwa nilitaka kufahamu eneo, nchi, au hata kama ni moja ya mikoa ya Tz si unajua picha kuna eneo hata kama umefika unaweza usione ndani pia, ila kuna mkuu ameshajibu hapo juu Afrika ya katiAfrika tu hiyo, we unafikiri itakuwa wapi.
Huu ni ushenzi
Hata kama ana kosa lolote lile on earth, sio hivi. Ushenzi na ukatili uliopitiliza!