Hmm! The world is not fair!

Bishop Hiluka

JF-Expert Member
Aug 12, 2011
7,140
14,678
301b5c7a0ea61e5365148b40b1fabed0.png
 
Ha ha haaaaa... Bwana Albert Bashite Daudi.. Leo ndo anafaidi mema ya nchi na kupewa heshima kubwa kama Rais kule China wakati hao jamaa wanaotafuna madesa hapo sasa hivi wako mtaani wanazunguka na bahasha za kaki viatu vimelowa vumbi na vishalika upande kwenye kisigino.
 
Dah!
Usikute yawezekana walikuwa wanamwambia Soma utakufa masikini!!!

Sasa, aliyelala ndiye anayekula cake ya nchi!

Hatujui waliko sasa!!
Kweli, Mungu akiamua kukupatia hakuna wakuzuia.
 
Back
Top Bottom