Prince Luanda
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 3,498
- 5,342
[emoji3]Wameishia kujibu kwa kupiga gaza tu badala ya lebanon waoga sana jamaa[emoji1787][emoji1787]
[emoji3]Wameishia kujibu kwa kupiga gaza tu badala ya lebanon waoga sana jamaa[emoji1787][emoji1787]
Naona umepanik muisrael wa chalambeNi kweli iron dome aliwatengezea bibi yako
Sio chalambe na wewe ni charambe.......unatuharibia lugha mamaNaona umepanik muisrael wa chalambe
SawaSio chalambe na wewe ni charambe.......unatuharibia lugha mama
Kila Ramadhani huwa inakuwa hivyo
Wapalestina huwa lazima walianzishe
We watu wanaswali Ramadan hii unaenda kuvamia,kuwasukuma wakiswali na kupiga mabomu ya machozi...vurugu za Israel msikiti mtakatifu wa Jerusalem ni kila mwaka na hazina mashiko
Hata kama wanaswali kwa kitu hakipo wao kinawauma nn mbona nyinyi mnaabudu masanamu kanisani hakuna anae wabugudhiIsrael wanakasirika na kukereka hao wapalestina wanaposwali kwa kitu ambacho hakipo kinasadikika tu, ndo maana wanawatawanya kistaarab kwa mabomu ya machozi badala ya kuwaua
Kama 2006 mshindi alikuwa israel na walichokuwa wanakitaka wanajeshi wao waliotekwa hawakuwapata sasa huo ushinde gani km malengo ya vita hamkufanikiwaSasa miaka yote baada ya vita Israel ndio anakuwa mshindi!!hapo mjinga nani??huwa hata siwaelewi hao warabu,watakufa weee badaye wanakubali yaishe,ila ukiangalia mshindi anakuwa Israel!!
Unajua bajeti ya usa kuisaidia israel kwa mwaka bila pesa ya usa hawana ubavu hata kutengeneza goboleNi kweli iron dome aliwatengezea bibi yako
Kila mtu yuko sahihi kuamini ajuavyo lkn wengine tunaamini ndilo taifa teule kwa mujibu wa maandiko ya biblia.Wanaosemaga Israel taifa teule la Mungu wanakosea sana.
Israel ni taifa onevu hawana tofauti na vikundi vingine vya magaidi
Hakuna taifa teule la Mungu duniani
Lilikuwa taifa teule kwa sasa sio hata Biblia inasema hivyoKila mtu yuko sahihi kuamini ajuavyo lkn wengine tunaamini ndilo taifa teule kwa mujibu wa maandiko ya biblia.
Israel hii hii ya kina Netanyahu ndo taifa teule la mungu 😃,,,,, kweli?Kila mtu yuko sahihi kuamini ajuavyo lkn wengine tunaamini ndilo taifa teule kwa mujibu wa maandiko ya biblia.
Hawatofautiani na beberu Amerika 🤔Wanaosemaga Israel taifa teule la Mungu wanakosea sana.
Israel ni taifa onevu hawana tofauti na vikundi vingine vya magaidi
Hakuna taifa teule la Mungu duniani
Huyu na Mwita Israel mtoa roho za wapalestina 😂Israel hii hii ya kina Netanyahu ndo taifa teule la mungu 😃,,,,, kweli?
Kwani Israel anataka sababu? Taifa ambalo wanajeshi wake wanakaa juu na sniper wanatafuta vitoto vidogo wanawashoot na kuwaua huku wanacheka linahitaji sababu?Wamevamiwa tu msikitini bila sababu? There must be a reason iliyopelekea Israel ichukue hatua hizo.
Washenzi tuHawatofautiani na beberu Amerika 🤔
Ndio maandiko matakatifu yanavyotuambia.Israel hii hii ya kina Netanyahu ndo taifa teule la mungu 😃,,,,, kweli?
Hiyo biblia yenu inasemaje na ni ya wapi.Lilikuwa taifa teule kwa sasa sio hata Biblia inasema hivyo