Hizibullah na Israel kimewaka

Hizibullah na Israel kimewaka

Israeli ndo mkorofi , WAlebanonni wamekasirishwa na kitendo cha wenzao kuvamiwa msikitini Jana na Leo na kutiwa Vizuizini .. wacha Moto uwake .

Wanajuana hao
Uzuri wanaoumia ni hao wa msikiti
 
Israel wanakasirika na kukereka hao wapalestina wanaposwali kwa kitu ambacho hakipo kinasadikika tu, ndo maana wanawatawanya kistaarab kwa mabomu ya machozi badala ya kuwaua
kwa hiyo hao waisrael wao wanafanya ibada zao kwa kitu ambacho kipo na si cha kusadikika mpaka wawapige mabomu wenzao wapalestina si ndio?? Mbona kama utetezi wako kwa waisrael ni wa kipumbavu na wa kitoto kabisa,,
 
Hao jamaa wa mashariki ya kati wameshindikana.
 
Sidhani labda waombe msaada wa Iran, japo Israel atakuwa na wakati mgumu maana atashambuliwa huku na kule
Hizibullah ni kundi lenye nguvu sana kuliko majeshi ya nchi nyingi tu duniani ikiwemo nchi yetu siyo wa kuchukulia poa.

Wakiingia vitani Israel itapata wakati mgumu sana na ndio maana mara nyingi huwa anajiepusha kuingia kwenye mzozo na hilo kundi,
hilo shambulizi lililo fanywa na Hizibullah lingekuwa limefanywa na hamas majibu ya Israel yangekuwa makubwa sana Lakini kwa Hizibullah wameishia kurusha mizinga ya onyo tu hayo yote ni kuepusha vita na kundi hilo kwa sababu Wana jua madhara yake ni makubwa.
 
2006 Hizbullah walishambulia vifaru vya Israel aina ya Merkava Aka kitanda Cha Mungu
 
We watu wanaswali Ramadan hii unaenda kuvamia,kuwasukuma wakiswali na kupiga mabomu ya machozi...vurugu za Israel msikiti mtakatifu wa Jerusalem ni kila mwaka na hazina mashiko
Ila hao askari wa Israel wanaroho ngumu kweli!
 
Israeli ndo mkorofi , WAlebanonni wamekasirishwa na kitendo cha wenzao kuvamiwa msikitini Jana na Leo na kutiwa Vizuizini .. wacha Moto uwake .

Wanajuana hao
Sasa miaka yote baada ya vita Israel ndio anakuwa mshindi!!hapo mjinga nani??huwa hata siwaelewi hao warabu,watakufa weee badaye wanakubali yaishe,ila ukiangalia mshindi anakuwa Israel!!
 
... uchokozi kaanzisha nani? Lazima yupo aliyeanzisha haiwezekani just from nowhere zikaanza kupingwa.
Hao hawana hizo, ni kama mijogoo, inapiganaweeeeee mpaka wanachoka[emoji1787][emoji1787] atakae anza kupata nguvu anampiga mwenzake, marawame viziana, hao hawana nani kaanza
 
Wameishia kujibu kwa kupiga gaza tu badala ya lebanon waoga sana jamaa[emoji1787][emoji1787]
 
hii vita inakuwa vigumu kumalizika kwa kuwa Israel anaendelea kujenga nyumba zao katka plastin, pia mataifa makubwa hasa nchi za kiarabu wanasapot wapiganaji wa pande mbili ,pia mtoto mdogo wa kipalstn ashajua adui yang ni yule ,anakuwa kwa minajili ya kulipa kisasi, kuna kipind flani hii vita ilitakiwa iishe kwa aman lakin kuna maswala ya kisiasa yakaingia kati ikashindikana
 
Sasa miaka yote baada ya vita Israel ndio anakuwa mshindi!!hapo mjinga nani??huwa hata siwaelewi hao warabu,watakufa weee badaye wanakubali yaishe,ila ukiangalia mshindi anakuwa Israel!!
Angekuwa mshindi basi vita isingekuwa inaendelea lakini ukiona vita inaendelea basi jua bado mshindi hajapatikana.
 
Wamevamiwa tu msikitini bila sababu? There must be a reason iliyopelekea Israel ichukue hatua hizo.
Avhana na hao wana mihemko tu pale al aqsa kuna utaratibu wa kuabudu kwa waislamu,wakristo na wayahudi tatizo waislamu wanakiuka utaratibu acha wapigwe tu.
 
Back
Top Bottom