Hizi vitu zilienda wapi

nash2010

JF-Expert Member
Joined
Jun 18, 2010
Posts
624
Reaction score
216
hii kitu ilikuwa inapiga kazi na bei yake ilikuwa poa sana
enzi hizo ukiwasha hii + ukijipaka mafuta ya kuzia mbu = malaria no more
 
Madukani yapo tele, inawezekana upo maeneo ambayo wateja hawanunui haya makitu
 
Maeneo niliyopo ni Rungu tu hayo hakuna !!
 
Ukiwasha hiyo chumbani ukauchapa usingizi hadi asubuhi huo uzito wa kichwa hadi raha!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…