Hizi teuzi zimewatoa watu akili na kuwatia watu uchizi

FRANC THE GREAT

JF-Expert Member
May 27, 2016
5,416
7,828
Hizi teuzi hizi. Teuzi! Teuzi! Teuzi! Zimewatoa watu akili. Teuzi zimewatia watu uchizi.

Watu wako tayari kufanya lolote lile hata liwe baya kiasi gani na lenye hatari kubwa kisa asipitwe kwenye teuzi!

Mtu yupo tayari kujitoa akili na kujidhalilisha katika jamii ili tuu akumbukwe katika ufalme wa mteuaji wakati wa teuzi!

Msomi mzima mwenye PhD hupo tayari kujifanya mtoto wa chekechea ili tuu nae atokelezee kwenye teuzi!

Mtu mwenye heshima zake yuko tayari kujifedhehesha na kujishushia heshima, kujikomba kupitiliza na kujipendekeza hovyo ili tuu asitoswe kwenye teuzi!

Mabinti wazuri wamejitoa akili na kuzificha wanakojua wenyewe. Wapo tayari hata kudhalilishwa utu, potelea mbali ili mradi tuu asipishane na teuzi!

Kijana mdogo kabisa yupo tayari kufanya matendo ya dharau na fedheha kwa watu wenye umri mkubwa kiwango cha wazazi wake wa kumzaa. Uchafu wote huo ili tuu umuongezee maksi kwenye teuzi!

Mtu yupo tayari kugombana na ndugu, mwenzi, kutelekeza familia n.K. Ili tuu asipigwe chenga na teuzi!

Yapo mengi, mengi, mengi sana ila hayo ni baadhi tuu ambayo baadhi ya watu wamejichagulia kuyatenda kwa nguvu zao zote bila aibu wala haya yeyote ili tuu wajikute katika teuzi!

Hizi teuzi hizi, zitamaliza watu hizi!
 
Wale sio wasomi ni waganga njaa tena njaa kali sana
Screenshot_2018-10-15-13-11-50-1.jpg
 
Hizi Teuzi Hizi. Teuzi! Teuzi! Teuzi! Zimewatoa Watu Akili. Teuzi Zimewatia Watu Uchizi.

Watu Wako Tayari Kufanya Lolote Lile Hata Liwe Baya Kiasi Gani Na Lenye Hatari Kubwa Kisa Asipitwe Kwenye Teuzi!

Mtu Yupo Tayari Kujitoa Akili Na Kujidhalilisha Katika Jamii Ili Tuu Akumbukwe Katika Ufalme Wa Mteuaji Wakati Wa Teuzi!

Msomi Mzima Mwenye PhD Hupo Tayari Kujifanya Mtoto Wa Chekechea Ili Tuu Nae Atokelezee Kwenye Teuzi!

Mtu Mwenye Heshima Zake Yuko Tayari Kujifedhehesha Na Kujishushia Heshima, Kujikomba Kupitiliza Na Kujipendekeza Hovyo Ili Tuu Asitoswe Kwenye Teuzi!

Mabinti Wazuri Wamejitoa Akili Na Kuzificha Wanakojua Wenyewe. Wapo Tayari Hata Kudhalilishwa Utu, Potelea Mbali Ili Mradi Tuu Asipishane Na Teuzi!

Kijana Mdogo Kabisa Yupo Tayari Kufanya Matendo Ya Dharau Na Fedheha Kwa Watu Wenye Umri Mkubwa Kiwango Cha Wazazi Wake Wa Kumzaa. Uchafu Wote Huo Ili Tuu Umuongezee Maksi Kwenye Teuzi!

Mtu Yupo Tayari Kugombana Na Ndugu, Mwenzi, Kutelekeza Familia n.k. Ili Tuu Asipigwe Chenga Na Teuzi!

Yapo Mengi, Mengi, Mengi Sana Ila Hayo Ni Baadhi Tuu Ambayo Baadhi Ya Watu Wamejichagulia Kuyatenda Kwa Nguvu Zao Zote Bila Aibu Wala Haya Yeyote Ili Tuu Wajikute Katika Teuzi!

Hizi Teuzi Hizi, Zitamaliza Watu Hizi!

Mkuu; teuzi tayari zimeshamaliza watu (sio zitawamaliza). Huwa nikimfikiria "Dr Mihogo" huwa sichoki kushangaa obsession ya watu juu ya teuzi hadi kusahau principles walizosema wanazipigania. Na pia huwa siishi kucheka nikimkumbuka "Dr" Bana; yeye na kujidhalilisha koooote jiwe hamuoni. Bana ananikumbusha "Dr" mmoja mhadhiri wa DS (kama sikosei) alieanzisha "chama cha siasa". Alijikomba weee bwana yule (hadi "chama" chake kikaitwa ccm b) lakini "Mkaa-apa" hakumjali hadi siku moja bwana yule akamuomba "Mkaa-apa" amteue kuwa japo mkuu wa mkoa. Bado hakupewa kitu.

Na "Propesa Lipumbafu"; ah well! Do I need to write anything on him?
 
Hatari Sana Mkuu!
 
Back
Top Bottom