dropingcoco
Senior Member
- Jun 21, 2008
- 124
- 11
1. Utakuta mtu anatembea barabarani huku anavuta sigara hajali kuwa moshi wa hiyo sigara yake unakera watu
2. Mtu anatembea barabarani anatema mate au anapenga kamasi hovyo hovyo kila mahali bila ustaarabu
3. Mtu anakupa business card siku unamtafuta ukipiga namba za simu zilizoko kwenye card hapatikani
4. Hawa wamachinga wanaouza vitu wakitumia kispika saa zote kikisema 'dawa ya mende, mchwa, mba na mapunye inapatikana hapa' kinarudiarudia kwa kweli kinaleta kero
Na mengine mengi yenye kero katika jamii yetu, Hii inakera sana
Lol..huyu ni wa kuzaba kibao kabisa maana hana 'adabu'!8. Inakera sana mtu ameomba simu ya mtu apige anaanza kuangalia salio!
Watu wenye meno yaliyo na irregular allignment wanakera sana wanapocheka na kukenua....
Go get some braces
Watu wenye meno yaliyo na irregular allignment wanakera sana wanapocheka na kukenua....
Go get some braces
9.
10. Mtu anakujia ana shida anaomba umkopeshe pesa kwa ahadi ya kukurudishia kesho, hiyo kesho unasubiri haifiki mpaka unajuta kumkopesha
Hapa mkopaji hana kosa wala hajakera, ila kesho yenyewe haijafika.