CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,304
- 12,999
Huku kwetu ukiona tu mtu anachangisha hela ujue ni 'chuma ulete'...
​am guda guda,hulaliiiiii?how are my akanana Passion Lady
hao wapo kila mahali
hawakwepeki!!
Chuma ulete hata wale wanafunzi???
inawezekana we unaona hapo arusha ndiyo kila mahali..
btw! huku kwetu Likolombe sijakutana na hiyo kitu.
Wapoo...hahahaha,naona ndo miezi yenyewe hii
Wana Chitchat mupooooooo!!!!""
Kumezuka tabia moja ambayo mie sijaielewa elewa.. Unakuta wanafunzi hasa wa shule za msingi kuzunguka mjini / mtaani na fomu ya kuchangisha michango kama ya mahafali ya shule, mahafali ya dini, utalii n.k.
Wanafunzi hao ukiwatizama hata viatu hawana vya kueleweka wala sare....
Hivi hii iko huku mikoani au hata huku Daslam iko?????
Je imekaaje hii???!!