Hizi tabia 'hutaweza fanikiwa milele'

Hii namba 5 inabidi isisitizwe.
 
6.kutokuwa waaminifu na wakweli kwa wateja.
7.kufanya biashara kwa kuiga pasipo kujiridhisha kwanza kwa tafiti yakinifu kisa tu umemuona rafiki yako uliyekuwa nae level moja amefanya na akafanikiwa.

8. Kukopesha kopesha sana kisa tu eti atoto ni jirani yako hili hali unajua ni msumbufu kulipa deni.
 
The boss himself, hiyo namba tano kuna mama mmoja niliwahi kumtolea lugha mbovu hadi leo hatakaa anisahau
 
Hii ni kweli kabisa, usisahau "kushindwa kupanga ni kupanga kushindwa"
 
'Uswahili' 'Janja Janja'

Unapokosa ku deliver on time, ama una deliver tofauti na order.

Damn.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…