Digital Ticha
Senior Member
- Jun 16, 2023
- 183
- 266
Nimeingia sijaona, ndio maana nimekuja uliza hapa.Huo ni uvivu.
Ingia kwenye tovuti zao utaona
SGR,MGR-Wizarq ya uchukuziNaomba mnisaidie kufahamu hizi taasisi zipo chini ya wizara gani?
1. BRT - barabara ya mwendokasi
2. SGR
3. MGR
4. Bomba la mafuta kupeleka nje ya nchi au nje ya DSM
5. Miundombinu ya reli
6. Barabara kubwa za DSM mfano Morogoro road, Mandela road
Sio kwamba waendeshaji yaani UDART ndio wako tamisemi na miundombinu ya brt yaani DART chini ya wizara ya ujenzi?Brt ipo chini ya tamisemi
Uchukuzi kwa sasa inajitegemea ambayo yupo Prof. Mbarawa na Mawasiliano yupo KairukiSGR,MGR-Mawasiliano na uchukuz
Barabara kubwa-Tanroads chini ya wizara ya Ujenzi
Reli mawasiliano na uchukuzi
Bomba la mafuta-Wizara ya nishati
BRT infrastructure- Wizara ya ujenzi
Basi ni uchukuziUchukuzi kwa sasa inajitegemea ambayo yupo Prof. Mbarawa na Mawasiliano yupo Kairuki
TAMISEMINaomba mnisaidie kufahamu hizi taasisi zipo chini ya wizara gani?
1. BRT - barabara ya mwendokasi
UCHUKUZI2. SGR
3. MGR
NISHATI4. Bomba la mafuta kupeleka nje ya nchi au nje ya DSM
UCHUKUZI5. Miundombinu ya reli
UJENZI6. Barabara kubwa za DSM mfano Morogoro road, Mandela road
Thanks, ngoja niverify naona kama upo sahihi zaidi.TAMISEMI
UCHUKUZI
NISHATI
UCHUKUZI
UJENZI