Subiri nije uko uliko
Haaaa! nilipoona post ya masai dada amesema ninyi ni wapendanao usingiz wote umepotea..... namsubiri masai anijibu
masai dada leo kaamka saa nne sisi tunawahi kuamka unaonaje tukienda kulala??
nimeamka 11 alfajiri na nalala wa mwisho nimezoea kazi si kama miss neddy wako mlaini laini
Hahahhaha unasema miss neddy mlaini??
Cc Lundenga
miss neddy leo sijamuona kabisa. Ila nitamtafuta
miss u
Oooh umerudi? I miss u sana
mi ni mgumu
hahaha miss u more
hahahaUko poa lakini? Siwezagi kukukosa u knw?
Umechangamkia fursa ya kilimo kwanza?
hahahaha umeona eeeeh natafuta wawezeshaji wa pembejeo
Mimi nipo mbona? Najua kupembejea na kubembeleza kabisa....
hahahahahaha ohooo kumbembeleza mkulima baada ya kazi utanifaa sana