Hizi stage za mapenzi bwana

benteke

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2014
Posts
1,305
Reaction score
1,069
Stage ya kwanza 1. Akiwa rafiki (unamfukuzia) hata kama ukimkuta na mwanaume/mwanamke mwingine hamna shida, tena utamuomba na samahani kwa kumbughudhi.

Stage ya 2.
Umeshampata ni girlfriend, mara nyingi hapa unaweza kuomba msamaha hata kama yeye ndio amekukosea, hii stage huwa mnasikilizana kweli, unaweza kuwa naushaidi wote lakini ukapigwa somo na kuelewa.

Stage ya 3. Uchumba bwana ni wa ajabu, mara nyingi hapa hata wazazi wako unaweza waona wachawi, naweza kuiita hii stage ni sikio la dawa halisikii kifo. Hapa utagombana na kila mtu anayejaribu kukueleza chochote kuhusu mtarajiwa wako.

Stage ya mwisho. Ndoa, Hapa sasa usijaribu kurudia chochote ulichokifanya kwenye stage zote huko nyuma, utapigwa chini. Tena na thread utaanzishiwa JF.

Mapenzi bwana, sasa najiuliza kama kwenye stage ya uchumba uliambiwa benteke ni kiwembe ukawaambia wakuwache kwa nini sasa umeingia kwenye ndoa ndio unaanza kumchunguza chunguza mtu, mpaka simu unaanza kupekua.
 
Bora kubaki stage ya kwanza aisee.
 
napenda stage ya kwanza sana ........ hii ya ndoa ndiyo shida sana kuafutana ubaya tu
 
benteke mie nmeipenda stage ya mwisho:hakuna kitu cpend kama kukaguana cm kwanza cjawah kagua cm ya mwanaume wangu
 
Last edited by a moderator:

mkuu umefikiriaaa
 
Last edited by a moderator:
benteke mie nmeipenda stage ya mwisho:hakuna kitu cpend kama kukaguana cm kwanza cjawah kagua cm ya mwanaume wangu

Mmh hata sipend kukaguliwa coz nna madhambi yangu... nahis simu yako na wewe ndugu inawalakini
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…