Hizi soda ubora wake upoje?

Hizi soda ubora wake upoje?

Greatest Of All Time

Platinum Member
Joined
Jan 1, 2017
Posts
26,550
Reaction score
62,019
Nimekuwa nikiona vinywaji hivi pichani, nikaambiwa ni soda tena ni tamu kushinda hizi tulizozizoea. Vipi zina ubora wake upoje? Na zinapatikana hasa mikoa gani?

IMG_7553.jpg
 
Bei gani? Wataweza compete na Coca na Pespi?
 
Tanga, hamna ubora wa sanaa hapo wenyeji wanazipenda mno, ila kwa mgeni itachukua muda kuzoea..nimekaa tanga, kuna wilaya ya pangani utadhurura sanaa kumpata bwana cocacola na products zake, ni Heltho tu..ubora wa kawaida kwa mtazamo wangu.
 
Nikurudi nyumbani sinywi soda yoyote zaidi ya anjari. Kwa sisi wana Tanga nikinjwaji chetu pendwa . Nikama nembo ya mkoa wetu
 
Hizi soda za anjari pamoja na juice zake ni mzuri sana sababu zipo low carbonated na zina sukari kidogo sana, pia zina less chemical kulinganisha na soda zingine kama pepsi and coke company, ndo mana juice na soda za anjar zina haribika mapema kulinganisha na zingine, napenda sana juice zake, Lakin pia anjar zina ladha tulivu na ya kipekee sana kumbuka ni low carbonated. Nilipowahi kuionja sijaiacha tena. Isipokuwa inapatikana tanga tu basi.
 
Mzigo unapatikana kwa Bwana Discount Supermarket,
 
Nilipewa Tanga hizo pale SAHARE MSUFINI

Jirani na kwa UMMY MWALIMU.
I cant forget
 
Tanga, hamna ubora wa sanaa hapo wenyeji wanazipenda mno, ila kwa mgeni itachukua muda kuzoea..nimekaa tanga, kuna wilaya ya pangani utadhurura sanaa kumpata bwana cocacola na products zake, ni Heltho tu..ubora wa kawaida kwa mtazamo wangu.
Pangani umekaa maeneo gani mkuu mnyongeni au miono?
 
Nilishakunywaga mara moja nikasikia kaharufu/kaladha ka UBANI kwa mbaaali,
Aisee nilitapika sana almanusura ulimi utoke[emoji16]
 
Back
Top Bottom