Hizi show za singeli vipi tena, wanaume wanavaa madela

Hizi show za singeli vipi tena, wanaume wanavaa madela

Hiyo singeli ni passing fad tu.

Muda si mrefu watu mtazichoka kwa sababu zaidi ya makelele, sioni umahiri mwingine wowote ule ndani yake.

Waimbaji wake naona ni wapiga makelele tu.
 
mkuu ni clip video ipo insta kwenye page ya officialsholomwamba siwezi kuitupia hapa nenda kaangalie ushenzi wao huku watu wakisifia

Aisee, nimeiona bana.
Vijana wana viuno vilaini over ladies,
Kweli hiki ni kizazi cha nyoka
 
I see wale wakaka watakua wanakazwa si bure! Mtu anashika mpaka speaker na Magoti hiyo ni dalili mbaya kuwa hata ukuta wanaweza kuwa wanashika hawa
 
1471874417975.jpg
 
Back
Top Bottom