"Shell" ni kama "Oil com" vyote ni vitu vya mafuta. Shell ni Uholanzi na Oil com ni wabingo. Shell walishindwa kujiendesha kibongo bongo kama kutoa rushwa nk wakafunga virago kama BP.
Nilikuwa najaribu kuondoa utata huo wa bongo kila kituo cha mafuta kuitwa shell. Marekani wanaita Gas Station.
Nawataharifu kkuhusu sheli za oil com ni wezi vibaya tahathari ukiwa unaweka mafuta usikae kwenye gari shuka uhakikishe nilijua ni mimi tu nimepata ili tatizo nimekutana na rafiki zangu 3 wanalalamika nilipowauliza sheli gani wakasema ni oil com nimeamini kweli jamaa wasanii. Tuwe makini jamani

They are 2 different oil companies..........
Ahsante (wakolai)
Tokabyamile anga waimuka kala, JF egi?
Yah.....petrol stations za oil com.......lakini......si wajibu wako kuhakikisha unapata huduma uliyolipia.......?
Dah hiyo ilinitokea Big Bon niliweka mafuta ya Tsh 22000 ili nipate litre 10 ila sikushuka kwenye gari alipomaliza tu nikaondoka kuelekea job ambako ni mita kama 500 kutoka pale mshale wa mafuta haukunyanyuka kabisa nilipofika job nikashangaa mbona mshale haujigusi? Nikageuza kurudi pale nikamuuliza yule dada kaapa kabisa kuwa kaniwekea mafuta sahihi nikaomba risiti ya thamani ya mafuta niliyoweka napo akagoma kutoa wakashauriana na incharge wao wakanipa mafuta eti ofisi yao imeamua kunipa tena kwenye pump nyingine ile wakajifanya huenda ina hitilafu nadhani hawa watu ni wajanja wajanja bora uweke kwenye kidumu umimine mwenyewe.
hii haipoki em em you....
ila wale wadada ni noma wakati niko Mby kuna my rafiki angu anafanya Oil com moja
pale...alinihadithia wanavyoiba lol..nikabaki hoi...maana kila siku narudi na mkwanja mrefu