Chachu Ombara
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 5,897
- 10,358
Hapana mkuu, Kolabo na Aby Skills ndio sifa.Kolabo na maveterani ndo sifa !!!
HahahahahhahaHapana mkuu, Kolabo na Aby Skills ndio sifa.
Kiba hawezi kufanya kolabo na abby skillz ila abby skillz anaweza kumshirikisha kiba,siwezi unga mkono kolabo na maveterani jombaaaHapana mkuu, Kolabo na Aby Skills ndio sifa.
Sio sifa ni kipajiSasa kufanya collabo ni sifa?
kwa hiyo Wanaofanya kolabo ni kipajiSio sifa ni kipaji
Ingekua sio kipaji hata hamorapa au kiba angefanya na haokwa hiyo Wanaofanya kolabo ni kipaji
Duuh.Kiba nae anatafutiwa colabo na mange zikikamilika watatangaza.
sawa mkuuIngekua sio kipaji hata hamorapa au kiba angefanya na hao