mathsjery
JF-Expert Member
- Sep 26, 2015
- 2,287
- 1,851
Kwa sasa hakuna kitu cha namna hiyoNinayo line mpya nimesajili si mda mrefu sana hata mwaka haujafika, imetoka hio pin. Sijafahamu kama kuna utaratibu umebadilika.
Nina Airtel na halotel zote hazitoki
Zina fail
Hizi ni za juzi hapa