Hiyo ni picha moja copy ya pili imefanyiwa kitu inaitwa "mirror effect" kama vile unapojitazama kwenye kioo, watu wa zamani ambao tunazijuwa "negative" ni rahisi kuelewa, siku hizi unacheza na vi "software" vya picha kwenye kompyuta vinakupa hiyo "mirror effect", tazama inayoonyesha wanasalimiana kwa mkono wa kushoto maandishi ukutani nayo yamebadilika.
Wewe inaonekana mwalimu wako alipata tabu sana darasani, elewa anachotaka kufahamu muuliza swali, je hawa watu walisalimiana kwa kutumia mikono gani? ya kushoto au ya kulia? hajauliza hadithi za studio huwa kunafanyika nini.Hiyo ni picha moja copy ya pili imefanyiwa kitu inaitwa "mirror effect" kama vile unapojitazama kwenye kioo, watu wa zamani ambao tunazijuwa "negative" ni rahisi kuelewa, siku hizi unacheza na vi "software" vya picha kwenye kompyuta vinakupa hiyo "mirror effect", tazama inayoonyesha wanasalimiana kwa mkono wa kushoto maandishi ukutani nayo yamebadilika.
Hapana,si mkono wa kushoto.Ni makosa ya uchapishaji tu hayo,angalia maneno hapo nyuma yao.View attachment 42057
Hii picha ni kutoka gazeti la majira... ambayo nafikiri ipo sawa....hii ya chini sasa
View attachment 42058\
Hii picha imetoka gazeti la mwananchi....yapo mabo ya kujiuliza hapa... ni kweli hawa watu walikuwa wanasalimiana kwa mikono ya kushoto? kama ndio...kwa nini? kama picha imechezewa.....wahariri wa wa gazeti la Mwananchi walikuwa na maana gani?? nisaidieni.....
View attachment 42057
Hii picha ni kutoka gazeti la majira... ambayo nafikiri ipo sawa....hii ya chini sasa
View attachment 42058\
Hii picha imetoka gazeti la mwananchi....yapo mabo ya kujiuliza hapa... ni kweli hawa watu walikuwa wanasalimiana kwa mikono ya kushoto? kama ndio...kwa nini? kama picha imechezewa.....wahariri wa wa gazeti la Mwananchi walikuwa na maana gani?? nisaidieni.....
Hiyo ni picha moja copy ya pili imefanyiwa kitu inaitwa "mirror effect" kama vile unapojitazama kwenye kioo, watu wa zamani ambao tunazijuwa "negative" ni rahisi kuelewa, siku hizi unacheza na vi "software" vya picha kwenye kompyuta vinakupa hiyo "mirror effect", tazama inayoonyesha wanasalimiana kwa mkono wa kushoto maandishi ukutani nayo yamebadilika.
Wewe inaonekana mwalimu wako alipata tabu sana darasani, elewa anachotaka kufahamu muuliza swali, je hawa watu walisalimiana kwa kutumia mikono gani? ya kushoto au ya kulia? hajauliza hadithi za studio huwa kunafanyika nini.
Who is expert in everything is expert in nothing....