agristeph
JF-Expert Member
- Aug 25, 2013
- 214
- 184
Hizi pesa zinavyotafutwa bana..tutasikia mengi,tutaona mengi na tutapitia mengi sana!
Pastor Lesego Daniel wa kanisa la Rabboni Centre Ministries,Pretoria South Africa amewapa order waumini wake WALE MAJANI MABICHI ILI WAWE KARIBU NA MUNGU ZAIDI!
Pamoja na kusumbuliwa na tumbo na kupishana kwenda toilet baada ya zoezi hilo sikia hawa waumini wanachosema;
1.'Yes, we eat grass and we're proud of it because it demonstrates that, with God's power, we can do anything,' Rosemary Phetha told South Africa's Times
2. Doreen Kgatle, 27, of Ga-rankuwa, suffered a stroke two years ago.
'I could not walk but soon after eating the grass, as the pastor had ordered, I started gaining strength and an hour later I could walk again,' said Kgatle.
Daaah! Ngoja nichukue Bible yangu,nisome kitabu cha Ufunuo.