Hizi ni zama za tekelinalokujia | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hizi ni zama za tekelinalokujia

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Zumbukuku, Aug 10, 2011.

 1. Zumbukuku

  Zumbukuku Member

  #1
  Aug 10, 2011
  Joined: May 17, 2011
  Messages: 70
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Kwa wale ambao hajaiona hii picha ya .. zama za tekelinakojia..Ukoo mzima unakomenti topic ya JF..

  ... papua.jpg
   
 2. pmwasyoke

  pmwasyoke JF-Expert Member

  #2
  Aug 10, 2011
  Joined: May 27, 2010
  Messages: 3,583
  Likes Received: 189
  Trophy Points: 160
  Hiyo laptop itakuwa inachajiwa kwa Sola
   
 3. K

  Karry JF-Expert Member

  #3
  Aug 10, 2011
  Joined: Mar 26, 2011
  Messages: 266
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  safi sana naona ni ule mpango wa laptop kwa wote
   
 4. m

  mjasiria JF-Expert Member

  #4
  Aug 10, 2011
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 3,790
  Likes Received: 220
  Trophy Points: 160
  Aaa wapi, duka la picha hilo
   
 5. NYENJENKURU

  NYENJENKURU JF-Expert Member

  #5
  Aug 10, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 1,008
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Huyo aliyepiga picha ndo alikuwa na laptop akawapa wakashika.Maana hata kamera sijui kama wanayo hao.
   
 6. Bambanza jr.

  Bambanza jr. JF-Expert Member

  #6
  Aug 10, 2011
  Joined: Aug 6, 2011
  Messages: 356
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nguo tu hawana je laptop wamewezaje? Ebwana nyenjenkuru umesema kwel. Ila nae alyewapa apimwe akil 2jue ana kilo ngap kwan mahitaj muhim zaidi ya mwanadam ni malaz,mavazi na chakula c laptop so angewapa nguo kwanza... Au sio wadau?
   
 7. J

  JACADUOGO2. JF-Expert Member

  #7
  Aug 10, 2011
  Joined: Dec 13, 2010
  Messages: 930
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Kwa nini wanunue laptop wakati wanalala njaa?
   
Loading...