Hizi ni zama za mwisho za dunia

Hizi ni zama za mwisho za dunia

mzaziaged

Senior Member
Joined
Oct 16, 2013
Posts
198
Reaction score
29
Hizi ni zama za mwisho uteuzi Mwigulu Nchemba na Nkamia ni viashiria vya siku za mwisho za dunia. Tanzania tukesheni tukiomba. Nkamia sio huyu aliyeita watu mbwa au ni mwingine? Na huyu mwingine si yule wa ali shabab au ni mwingine.
 
Hahahaaa ukistaajabu ya musa utayaona ya firauni ndugu ndo uzinduke ulipolala 2015 usichezee kura yako tena mwambie na jirani yako hawa wamelewa madaraka ndugu tukiwambiia tuna njaa wao wanasema tule hata keki wakati mkate hatuna wametudharau vya kutosha amka wakati ndio huu.
 
jamaa kwa kukosoa watu wewe,looo.maana kila kitu wakitoa kasoro, mi nampongeza mhrais kwa uteuzi wake. maana watu wengine mnakuwa kama nzi,ambae hata uvae suti ya aina gani,atajitahidi mpaka aone kidonda,

tulia wewe acha kumpa dosari rais wetu,maana hata rais atoke mbinguni awe malaika nina imani utamtoa kasoro tu.
 
Mh! Chavi!

Serkali yetu sikivu imesikia kilio chetu na imemdondosha mulugo na kutuletea mtu aliyewahi kukaa na wazungu ulaya. bila shaka muingereza huyu nkamia atakua chachu kwenye baraza letu. ccm oyee. nawasilisha
 
Mh! Chavi!

Serkali yetu sikivu imesikia kilio chetu na imemdondosha mulugo na kutuletea mtu aliyewahi kukaa na wazungu ulaya. bila shaka muingereza huyu nkamia atakua chachu kwenye baraza letu. ccm oyee. nawasilisha
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom