Hizi ni salaam za CCM kuelekea 2020

Hizi ni salaam za CCM kuelekea 2020

Kama na waabudu Mungu wangekuwa na imani kama hawa chadema hakika wangeenda mbinguni. Maana kila mda nikujipa matumaini ya ushindi huku wao wenyewe wakijua hawataweza kushinda kiti cha uraisi hadi mwisho wa dunia ufike, sawa wana chadema??
 
Acha uongo, mimi ni mmoja wa watumishi wa Umma, HATUJSAHAULIKA hata kidogo. Peleka majungu na uchonganishi huko kwenu Kaskazini.

Wewe mtumishi wa umma secta gani unayebisha kwa lugha za kijinga? unaposema peleka majungu huko kwenu kaskazini unamaanisha huko kaskazini siyo Tanzania...wewe siyo mtumishi wa umma ni mtoto wa mjumbe wa nyumba 10
 
Acha uongo, mimi ni mmoja wa watumishi wa Umma, HATUJSAHAULIKA hata kidogo. Peleka majungu na uchonganishi huko kwenu Kaskazini.
Eeennh kumbe mpo poa [emoji106] kiasi hicho??!!!!
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] Watumishi wa Umma Hongereni sana.
 
Acha uongo, mimi ni mmoja wa watumishi wa Umma, HATUJSAHAULIKA hata kidogo. Peleka majungu na uchonganishi huko kwenu Kaskazini.
shame on you....hatujasahaulika kivip?? ww upo sekta gan asee?? No ongezeko per yr then u bring ur lies here...tuwage wakweli asee
 
Wewe mtumishi wa umma secta gani unayebisha kwa lugha za kijinga? unaposema peleka majungu huko kwenu kaskazini unamaanisha huko kaskazini siyo Tanzania...wewe siyo mtumishi wa umma ni mtoto wa mjumbe wa nyumba 10
Huyo ni kibaraka wa Lumumba mkuu.Hawa ni wasaliti na wabinafsi wakubwa.
 
Kama na waabudu Mungu wangekuwa na imani kama hawa chadema hakika wangeenda mbinguni. Maana kila mda nikujipa matumaini ya ushindi huku wao wenyewe wakijua hawataweza kushinda kiti cha uraisi hadi mwisho wa dunia ufike, sawa wana chadema??
Usiwe na akili fupi,hata trump mlisemq hashindi leo mmekuwa wanafiki mnatuma salamu za pongezi. Hakuna marefu yasiyo na ncha.
 
Umetisha!!!
Yaani mtu anauwezo mdogo wa kujenga hoja wewe ndio unajitwika jukumu la kumfundisha??!
Si ungeachana nae tu??!

Werevu tumebaini kuwa umejitoa kimasomaso yasije yakakukuta ya shigongo.

Wahanga wa tetemeko Bukoba tumewachangia, mpaka malkia wa ungreza kachanga,

Hamjazifikisha kwa walengwa "MMEZIPIGA"

Point yangu inayo justify uwizi wa sisiyem ni hiyo.

Come again!!!!!!

Uwezo wako wa kujenga hoja uko chini sana.

Kama unajielewa, jaribu kutafuta watu wenye uwezo kama wewe ili msaidiane kufundishana ujinga.

Samahani kama nimekukwaza!
 
Tuna miaka minne ya kuendelea kuteswa na baada ya hapo tutaamua tena tuchague upinzani na tumkimbize pepo anayeitwa ccm au tumchague pepo ccm tena maisha yawe magumu zaidi ya haya
 
Acha uongo, mimi ni mmoja wa watumishi wa Umma, HATUJSAHAULIKA hata kidogo. Peleka majungu na uchonganishi huko kwenu Kaskazini.
Lakini pia pamoja na kuwa mtumishi wa umma kubwa nililo jifunza kwako na UNAFIKI wa kiwango cha juu kabisa.
 
Siamini kama kuna mwana chadema anafikiri TUCTA ni chombo cha Serikali
 
Tuna miaka minne ya kuendelea kuteswa na baada ya hapo tutaamua tena tuchague upinzani na tumkimbize pepo anayeitwa ccm au tumchague pepo ccm tena maisha yawe magumu zaidi ya haya
Hivi kwa akili yako unadhani CCM itakaa kibwege bwege tu hadi upinzani uchukue nchi? Hahahahahaaaaaaa
 
Tukiangalia kisiasa sio vizuri inabidi tuangalie kizalendo.
Napenda kujivunia utanzania wangu na amani ambayo tunayo.......salaam za 2020 zinaweza zikawa za maana kwa kipindi hichi cha sarakasi za uchumi wetu na zinaweza zikawa salaam za ovyo sana uchumi wetu utakavyotulia......na sisi binadamu tulivyoumbwa kwa kusahau hatumbo.wenye kuelewa na wazidi kunielewa..
MUNGU IBARIKI TANZANIA
 
Back
Top Bottom