Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,772
- 165,406
Serikali ya sasa inaonekana kuwasahau kabisa watumishi wa umma na bahati mbaya hata vyama vya wafanyakazi vilionekana kuwa havina msaada kwa watumishi na hivyo kupoteza maana nzima ya uwepo wa vyama hivi na viongozi wake.
Kitendo cha wawakilishi wa watumishi wa umma kuwakataa viongozi wa TUCTA waliokuwepo na kuchahua wengine kina maana kubwa sana kwa mtu anefikiri kwa mapana.
Tafsi rahisi ya matokeo ya uchaguzi huu kwa mtazamo wangu ni kuwa, watumishi hawaridhishwi na sera za serikali ya awamu hii zinazohusu watumishi wa umma na ndio maana wamewakataa viongozi waliokuwepo kwa kushindwa kuwatetea maana wamekuwa kimya kama vile awamu hii kila kitu kiko sawa kuliko hata awamu iliyopita jambo ambalo si kweli hata kidogo.
Mwenye kutazama mambo kwa mapana na marefu atanielewa.