Hizi ni salaam za CCM kuelekea 2020

Hizi ni salaam za CCM kuelekea 2020

Kama na waabudu Mungu wangekuwa na imani kama hawa chadema hakika wangeenda mbinguni. Maana kila mda nikujipa matumaini ya ushindi huku wao wenyewe wakijua hawataweza kushinda kiti cha uraisi hadi mwisho wa dunia ufike, sawa wana chadema??
Hongera mtabiri, naona umehamia ukoo wa shehe Yayha.
 
Wenye akili tu! Ndio watakao elewa...
Pole ndugu sababu hutoelewa
kisichoeleweka kipi hapo?mtaji wenu ulikuwa mabodaboda,sasa hivi wamepata akili na kurudi njia kuu hamna cha kuongea mnabaki kuzusha uongo,,endeleeni kulopoka na mtaswekwa ndani mpaka mkome na wanaowatumia hawana cha kuwasaidia
 
Acha uongo, mimi ni mmoja wa watumishi wa Umma, HATUJSAHAULIKA hata kidogo. Peleka majungu na uchonganishi huko kwenu Kaskazini.
Wewe umeshaambiwa wenye akili ndio wataelewa,sasa unachangia nini wakati wewe sio miongoni mwao?
 
Hatutarajii watu wa aina ya makusuducally kuongea tofauti na kile walicholishwa. Tungeweza kuongea mengine mengi sana lakini mmh intosha kwa leo
 
Back
Top Bottom