Marco Polo
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 13,433
- 21,447
- Thread starter
- #21
Siwez kuwaza hivyo, maana sijakwaruzana na mtu yyte mpaka kufika hali hiiau ni laana ?

Pole sana mkuu. Ndoto hizi zimenisumbua kwa kipindi kirefu sana. Yaani huwa naota narudishwa shule ya msingi kabisa, nipo na wenzangu darasani, inafika kipindi cha mtihani najikuta sijasoma kabisa, au nashindwa kabisa kukamilisha mitihani.Mm ni kijana in the late 30's nimepita pita school vya kutosha tu, kuanzia O level, Advance mpaka chuo kikuu na kote huku kulikuwa kitonga tu kutokana na juhudi zangu ktk masomo, kiukweli Nina miaka zaid ya mi5 toka nimalize chuo lakin Mara kwa Mara nimekuwa nikiota kwamba nakutana na changamoto nyingi sana hasa ninapofanya mitihani, mfano ni Jana tu nimeota niko kwenye mitihani ya Necta ya form 6, nimechelewa kuingia kwenye chumba cha mtihani kama masaa ma 2 huku mtihani ukiwa ni wa masaa 3 maana nilikuwa nimechelewa kuamka hostel,
Sasa ile kufika wasimamizi wakanigomea kuingia kwenye chumba cha mtihani, nikajaribu kuwaomba wakaniruhusu niingie huku ikiwa imebaki SAA 1 muda kuisha, nilipopewa mtihani kuna wanafunzi wakawa wamemaliza wanatoka nje, hicho kitu kilinipa stress mwisho wa mtihan msimamizi anakuja kusanya sijajibu swali hata moja ndio nikashtuka usingizini......
Huu ni mfano mmoja tu lakini nishaota nyingi za mtindo huu na zinanikera sana ukizangatia sikuwa kuwa na changamoto za aina hii kote nilipopita, labda kuna chochote zinamaanisha?
Pole sana mkuu.Pole sana mkuu. Ndoto hizi zimenisumbua kwa kipindi kirefu sana. Yaani huwa naota narudishwa shule ya msingi kabisa, nipo na wenzangu darasani, inafika kipindi cha mtihani najikuta sijasoma kabisa, au nashindwa kabisa kukamilisha mitihani.
Siku moja nikaota nimerudishwa shule yangu niliyosoma secondary O level, nimepigishwa goti na mwl mmoja ambae hadi jina nalikumbuka (Though hatukuwa na mwl mwenye jina hilo) Tupo wawili na mwenzangu, Mimi nikiwa uchi bila nguo lkn mwenzangu alikuwa angalau amevaa nguo ya ndani. Nililia sana kwa yule mwl nikamwambia mbona mmataka kunirudisha huku wakati Mimi niliendelea na masomo??? Akaniambia basi nilikuwa sijui, akaniachia, baada ya hapo nikapumzika ndoto zile kwa muda Fulani lkn baada ya muda zikarudi tena. Yaani kuna wakati ninaota mfululizo sana kwa wiki ninaota hata Mara 3.
Kuhusu maisha kiukweli nimejaribu biashara nyingi za mtaji mkubwa hakuna hata moja niliyofaniliwa, na hata nikizalisha vizuri nadhulumiwa na kuibiwa. Nimejaribu kilimo niishia kupata hasara kubwa. Nilijaribu kusoma course Fulani Masters nikamaliza coursework vizuri kwenye desertation nilijikuta nimepata mitihani hadi nikaamua kuiacha. Na kipindi hiki ninasoma ndoto hizo nilikuwa nazipata sana. Nakumbuka siku moja niliota sauti inaniambia nimtafute Dada mmoja tusaidiane kufanya maombi ili niweze kumaliza course yangu. (Huyo Dada ni mtu ambae namfahamu vizuri tulishawahi kusoma nae zamani) kiukweli alikuwa ni mtu anaempenda Mungu sana na alikuwa mtu anae sali sana. Nilimtamfua lkn alikuwa anaishi mkoa wa mbali na Mimi, na kipindi hicho nilisongwa na matatizo na misusuko nikakata tamaa na course niliiacha bila kujali gharama ambayo nilikuwa nimetumia-ambayo ilikuwa ni kubwa sana.
Pole sana Mkuu, ndoto ya namna hiyo inaotwa na watu wengi tu hata Mimi nilishawahi kuota kama Mara mbili.Mm ni kijana in the late 30's nimepita pita school vya kutosha tu, kuanzia O level, Advance mpaka chuo kikuu na kote huku kulikuwa kitonga tu kutokana na juhudi zangu ktk masomo, kiukweli Nina miaka zaid ya mi5 toka nimalize chuo lakin Mara kwa Mara nimekuwa nikiota kwamba nakutana na changamoto nyingi sana hasa ninapofanya mitihani, mfano ni Jana tu nimeota niko kwenye mitihani ya Necta ya form 6, nimechelewa kuingia kwenye chumba cha mtihani kama masaa ma 2 huku mtihani ukiwa ni wa masaa 3 maana nilikuwa nimechelewa kuamka hostel,
Sasa ile kufika wasimamizi wakanigomea kuingia kwenye chumba cha mtihani, nikajaribu kuwaomba wakaniruhusu niingie huku ikiwa imebaki SAA 1 muda kuisha, nilipopewa mtihani kuna wanafunzi wakawa wamemaliza wanatoka nje, hicho kitu kilinipa stress mwisho wa mtihan msimamizi anakuja kusanya sijajibu swali hata moja ndio nikashtuka usingizini......
Huu ni mfano mmoja tu lakini nishaota nyingi za mtindo huu na zinanikera sana ukizangatia sikuwa kuwa na changamoto za aina hii kote nilipopita, labda kuna chochote zinamaanisha?
Sikuwa muoga mkuu maana kama mtu ulikuwa unajiandaa vyema sidhan kama utakuwa na hofu na mitihani, japo mitihani ikikaribia akili yako inakuwa inafanya kazi kwa msaada wa vichocheo( stress hormones) na ndio maana mtu anaweza soma counter zima kwa muda mchache sana,
Ndoto za type hyo zinatesa sana sana na nimeota sana mpka nikanunua kitabu cha tafsiri ya ndoto cha mwakasege nikasoma soma ila ndoto zikakoma ila maisha bado ni magumu no progress na umri umesogea sana lakin mafanikio ni kidogo sana ila madogo waliokuwa nyuma yangu wametoboa sana, wapo walioniambia nisali sana ninafanya hvyo, ila pia wapo walionishauri niangalie upande wa pili ( wazee wa nyanga) hilo nimeligomea bado naona sijafika huko ila nashukuru ndoto zimegoma ila maendeleo nayo yamesimama hela napata ila sijui inapoelekea kila nikipata hela haikai matatizo yanaibuka
Asante.Pole sana mkuu.
Pole sana mkuu. Ndoto hizi zimenisumbua kwa kipindi kirefu sana. Yaani huwa naota narudishwa shule ya msingi kabisa, nipo na wenzangu darasani, inafika kipindi cha mtihani najikuta sijasoma kabisa, au nashindwa kabisa kukamilisha mitihani.
Siku moja nikaota nimerudishwa shule yangu niliyosoma secondary O level, nimepigishwa goti na mwl mmoja ambae hadi jina nalikumbuka (Though hatukuwa na mwl mwenye jina hilo) Tupo wawili na mwenzangu, Mimi nikiwa uchi bila nguo lkn mwenzangu alikuwa angalau amevaa nguo ya ndani. Nililia sana kwa yule mwl nikamwambia mbona mmataka kunirudisha huku wakati Mimi niliendelea na masomo??? Akaniambia basi nilikuwa sijui, akaniachia, baada ya hapo nikapumzika ndoto zile kwa muda Fulani lkn baada ya muda zikarudi tena. Yaani kuna wakati ninaota mfululizo sana kwa wiki ninaota hata Mara 3.
Kuhusu maisha kiukweli nimejaribu biashara nyingi za mtaji mkubwa hakuna hata moja niliyofaniliwa, na hata nikizalisha vizuri nadhulumiwa na kuibiwa. Nimejaribu kilimo niishia kupata hasara kubwa. Nilijaribu kusoma course Fulani Masters nikamaliza coursework vizuri kwenye desertation nilijikuta nimepata mitihani hadi nikaamua kuiacha. Na kipindi hiki ninasoma ndoto hizo nilikuwa nazipata sana. Nakumbuka siku moja niliota sauti inaniambia nimtafute Dada mmoja tusaidiane kufanya maombi ili niweze kumaliza course yangu. (Huyo Dada ni mtu ambae namfahamu vizuri tulishawahi kusoma nae zamani) kiukweli alikuwa ni mtu anaempenda Mungu sana na alikuwa mtu anae sali sana. Nilimtamfua lkn alikuwa anaishi mkoa wa mbali na Mimi, na kipindi hicho nilisongwa na matatizo na misusuko nikakata tamaa na course niliiacha bila kujali gharama ambayo nilikuwa nimetumia-ambayo ilikuwa ni kubwa sana.
Vp maendeleo yako kwenye profession ulobobea ?Mm ni kijana in the late 30's nimepita pita school vya kutosha tu, kuanzia O level, Advance mpaka chuo kikuu na kote huku kulikuwa kitonga tu kutokana na juhudi zangu ktk masomo, kiukweli Nina miaka zaid ya mi5 toka nimalize chuo lakin Mara kwa Mara nimekuwa nikiota kwamba nakutana na changamoto nyingi sana hasa ninapofanya mitihani, mfano ni Jana tu nimeota niko kwenye mitihani ya Necta ya form 6, nimechelewa kuingia kwenye chumba cha mtihani kama masaa ma 2 huku mtihani ukiwa ni wa masaa 3 maana nilikuwa nimechelewa kuamka hostel,
Sasa ile kufika wasimamizi wakanigomea kuingia kwenye chumba cha mtihani, nikajaribu kuwaomba wakaniruhusu niingie huku ikiwa imebaki SAA 1 muda kuisha, nilipopewa mtihani kuna wanafunzi wakawa wamemaliza wanatoka nje, hicho kitu kilinipa stress mwisho wa mtihan msimamizi anakuja kusanya sijajibu swali hata moja ndio nikashtuka usingizini......
Huu ni mfano mmoja tu lakini nishaota nyingi za mtindo huu na zinanikera sana ukizangatia sikuwa kuwa na changamoto za aina hii kote nilipopita, labda kuna chochote zinamaanisha?
Hiz ndoto tunaziota wengi SanaPole sana mkuu. Ndoto hizi zimenisumbua kwa kipindi kirefu sana. Yaani huwa naota narudishwa shule ya msingi kabisa, nipo na wenzangu darasani, inafika kipindi cha mtihani najikuta sijasoma kabisa, au nashindwa kabisa kukamilisha mitihani.
Siku moja nikaota nimerudishwa shule yangu niliyosoma secondary O level, nimepigishwa goti na mwl mmoja ambae hadi jina nalikumbuka (Though hatukuwa na mwl mwenye jina hilo) Tupo wawili na mwenzangu, Mimi nikiwa uchi bila nguo lkn mwenzangu alikuwa angalau amevaa nguo ya ndani. Nililia sana kwa yule mwl nikamwambia mbona mmataka kunirudisha huku wakati Mimi niliendelea na masomo??? Akaniambia basi nilikuwa sijui, akaniachia, baada ya hapo nikapumzika ndoto zile kwa muda Fulani lkn baada ya muda zikarudi tena. Yaani kuna wakati ninaota mfululizo sana kwa wiki ninaota hata Mara 3.
Kuhusu maisha kiukweli nimejaribu biashara nyingi za mtaji mkubwa hakuna hata moja niliyofaniliwa, na hata nikizalisha vizuri nadhulumiwa na kuibiwa. Nimejaribu kilimo niishia kupata hasara kubwa. Nilijaribu kusoma course Fulani Masters nikamaliza coursework vizuri kwenye desertation nilijikuta nimepata mitihani hadi nikaamua kuiacha. Na kipindi hiki ninasoma ndoto hizo nilikuwa nazipata sana. Nakumbuka siku moja niliota sauti inaniambia nimtafute Dada mmoja tusaidiane kufanya maombi ili niweze kumaliza course yangu. (Huyo Dada ni mtu ambae namfahamu vizuri tulishawahi kusoma nae zamani) kiukweli alikuwa ni mtu anaempenda Mungu sana na alikuwa mtu anae sali sana. Nilimtamfua lkn alikuwa anaishi mkoa wa mbali na Mimi, na kipindi hicho nilisongwa na matatizo na misusuko nikakata tamaa na course niliiacha bila kujali gharama ambayo nilikuwa nimetumia-ambayo ilikuwa ni kubwa sana.
Namuamini sana. Ninaamini ananipenda sana that's why nimekuwa nikipata alert hizi za ndoto.Samahani mkuu unaamini kama Mungu yupo?
Samahani mkuu kama nitakosea. Una uhakika kozi/masomo uliyosoma unayapenda?Mm ni kijana in the late 30's nimepita pita school vya kutosha tu, kuanzia O level, Advance mpaka chuo kikuu na kote huku kulikuwa kitonga tu kutokana na juhudi zangu ktk masomo, kiukweli Nina miaka zaid ya mi5 toka nimalize chuo lakin Mara kwa Mara nimekuwa nikiota kwamba nakutana na changamoto nyingi sana hasa ninapofanya mitihani, mfano ni Jana tu nimeota niko kwenye mitihani ya Necta ya form 6, nimechelewa kuingia kwenye chumba cha mtihani kama masaa ma 2 huku mtihani ukiwa ni wa masaa 3 maana nilikuwa nimechelewa kuamka hostel,
Sasa ile kufika wasimamizi wakanigomea kuingia kwenye chumba cha mtihani, nikajaribu kuwaomba wakaniruhusu niingie huku ikiwa imebaki SAA 1 muda kuisha, nilipopewa mtihani kuna wanafunzi wakawa wamemaliza wanatoka nje, hicho kitu kilinipa stress mwisho wa mtihan msimamizi anakuja kusanya sijajibu swali hata moja ndio nikashtuka usingizini......
Huu ni mfano mmoja tu lakini nishaota nyingi za mtindo huu na zinanikera sana ukizangatia sikuwa kuwa na changamoto za aina hii kote nilipopita, labda kuna chochote zinamaanisha?
Advance nilisoma PCB nikapata div 2 point 11 ila chuo nikachaguliwa Ifm kusoma accounts, nilienda pale kutokana na kupewa Grants tu na wala sikuipenda kiivyo hiyo kozi na ndio maana nilipokuwa chuoni nilikuwa nasoma ili nifaulu tu maana sikuwa na interest kabisa na mambo ya uhasibu, malengo yangu yalikuwaga kuja kuwa mtu wa afya ( MD) baada ya kumaliza advance, nilipomaliza chuo Ifm nilisota mtaani miaka mi4 bila ajira nikaja pata kazi kampuni moja nilipopata kukusanya pesa iliyonisaidia kulipia ada chuo cha afya nilipokuwa nasoma diploma ya Clinical Medicine, niliamua kwenda kusoma clinical medicine baada ya kuomba na kukosa mkopo wa kusoma degree ya medicine japo sifa nilikuwa nazo....Vp maendeleo yako kwenye profession ulobobea ?
bila samahani mkuu nahic nitakuwa nimekujibu kwenye post #34 .Samahani mkuu kama nitakosea. Una uhakika kozi/masomo uliyosoma unayapenda?
Kila mtu anayezaliwa Mungu huliweka kusudi ama wajibu ndani yake. Unapotoka nje ya mpango wa Mungu unapoteza mwelekeo. Ndoto ni mlango wa kiroho hivyo Mungu anakukumbusha hapo ulipo kuna kitu hakipo sawa, anakukumbusha ulipokwama shuleni. Muombe Mungu toba kisha muombe akufungulie mlango.Advance nilisoma PCB nikapata div 2 point 11 ila chuo nikachaguliwa Ifm kusoma accounts, nilienda pale kutokana na kupewa Grants tu na wala sikuipenda kiivyo hiyo kozi na ndio maana nilipokuwa chuoni nilikuwa nasoma ili nifaulu tu maana sikuwa na interest kabisa na mambo ya uhasibu, malengo yangu yalikuwaga kuja kuwa mtu wa afya ( MD) baada ya kumaliza advance, nilipomaliza chuo Ifm nilisota mtaani miaka mi4 bila ajira nikaja pata kazi kampuni moja nilipopata kukusanya pesa iliyonisaidia kulipia ada chuo cha afya nilipokuwa nasoma diploma ya Clinical Medicine, niliamua kwenda kusoma clinical medicine baada ya kuomba na kukosa mkopo wa kusoma degree ya medicine japo sifa nilikuwa nazo....
mpaka sasa sijafanikiwa kuwa MD ila Nina Diploma ya Clinical medicine ambayo ndio naifanyia kazi kwa kipato hicho......hivyo naweza sema ki profession bado sijatimiza malengo hivyo nipo nje ya matarajio.
Sawa mkuuKila mtu anayezaliwa Mungu huliweka kusudi ama wajibu ndani yake. Unapotoka nje ya mpango wa Mungu unapoteza mwelekeo. Ndoto ni mlango wa kiroho hivyo Mungu anakukumbusha hapo ulipo kuna kitu hakipo sawa, anakukumbusha ulipokwama shuleni. Muombe Mungu toba kisha muombe akufungulie mlango.
Kama ni mtu wa ibada omba mwenyewe ukishidwa waombe walezi wako wa kiroho.
Pamoja chiefPole sana..ndoto ni bayana yaani unachokiona ktk ulimwengu wa roho ni halisi.usidanganyike kuwa ni ndoto tuu hapana.kwenye Bibla wapo walioota ndoto pia na zikatokea vilevile.hivyo usipuuzie ndoto ulivyoona itakuwa hivyo ijapokuwa kwa sasa unajiona upo kawaida..kuna wakati utafika utashangaa hata hiyo ajira haipo tena.ndoto ni tarfa ya mambo yajayo.kuchelewa kwenye mitihani au darasani ni mbaya ishara ya mambo yako mengi kuharibika hautafikia ndoto yako ya maisha.yabebe maneno haya na yafanyie kazi.tafuta msaada wa maombi.karibu kanisani.Barikiwa
Hii imenichekesha!Mimi ndoto hizo nilikuwa naota sana mfano naenda shuleni (primary) nafika shule ile kujiangalia eti nilisahau kuvaa nguo Niko uchi , nachelewa mtihani(secondary) nazinguliwa kuingia nalialia naingia Mara najikuta Nina karatas za summary kwenye pepa msimamiz anazidaka najitetea naomba msamaha msimamiz anagoma nafutiwa matokeo, nachelewa necta form 4 najilaumu ndotoni ,nalala Massa 48 naikosa necta ya Jana yake naomba msimamizi anisaidie na Mimi nifanye mtihan wa Jana anazngua, Mara nasahau no mtihani gani naenda kufanya najua kiswahili kuingia kwenye pepa nakuta physics. aisee na wakati huo nlikuwa napasua kweli skuli ,ndoto zimeanza kufanya kaz saiz nikiwa chuo kupata tu 50 ni kaz, kusoma bila kuelewa, kukosa ham ya shule sababu ya kusoma sana alaf nafeli sana .his ndoto zina maana sana .LABDA NTAFANIKIWA KUPITIA KITU KINGINE SIO ELIMU .....NGOJA NISUBIRI