Hizi ndo tabia za wanawake warefu

Akitoa size ya kati mniite nisome,kama naweza hamia ufupini au urefuni zaidi nitaangalia penye unafuu
 
Wanawake warefu hatuna tabia hizooo banaaa kajipange
 
Aah sasa kama unataka wa size ya kati,warefu nan awaoe..kila mtu anapenda tofaut..
 
Wanawake wate wenye tabia mbaya au zisizorithisha kwenye jamii waje kwangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…