Hizi ndo tabia za wanawake warefu

Hizi ndo tabia za wanawake warefu

Wanawake warefu wana tabia za kukera sana tofauti na Wanawake wengine, Ni wajeuri, viburi, na wanajiamini kupindukia, Ni wagumu sana mara nyingi wanapotongozwa, wanapenda kunyeyekewa sana, na Ni wavivu ktk kufanya kazi, wengi wao wana hekima sana na uzuri wao ni kuwa wanapoamua kuolewa wanajua sana kutunza ndoa na wanajua kupenda pia, ila tatizo lao wana ulimbukeni wa kupenda kuonekana na kusifiwa hata kwenye hakuna.
Wanapenda sana maisha ya gharama na hasa mavazi, chakula, simu na usafiri, inapotokea ukaoa mwanamke mrefu anayejituma sana ktk kazi ujue hata dharau yake inaweza kuwa kubwa endapo atafanikiwa, kitandani si watamu sana ukilinganisha na kina andunje.
Hawapendi kuolewa na wanaume wafupi na ukikuta mwanamke mrefu kaolewa na mwanaume mfupi ujue 99% kampendea pesa na wakiongozana njiani huwa hawatangulizani pamoja lazima waachane kwa mita kadhaa, nyodo na maringo ndo zao.
Ni wasumbufu kwa mambo mengi sana, kifupi ni bora uoe mwanamke wa saizi ya kati kuliko mrefu, maana ikitokea akawa malaya basi wanajua sana kucheza na wanaume wenye pesa bila kujali afya zao.
Leta na wanaume warefu
 
Huu ni utafiti au umbea wa harusini?mana hakuna chanzo cha habari kama ni maoni yako binafsi ama utafiti.
 
uwongo uwongo weka mbali na binadamu.mtu anahekima alafu kibur na jeur?
Ni vizuri ukawa na uelewa wa kuzaliwa usisubiri hadi kila kitu utafuniwe, si wote wana hekima na si wote wana nyodo ni baadhi yao tu.
 
Unazungumzia wanawake warefu ama mke wako mrefu??
 
Wanawake warefu wana tabia za kukera sana tofauti na Wanawake wengine, Ni wajeuri, viburi, na wanajiamini kupindukia, Ni wagumu sana mara nyingi wanapotongozwa, wanapenda kunyeyekewa sana, na Ni wavivu ktk kufanya kazi, wengi wao wana hekima sana na uzuri wao ni kuwa wanapoamua kuolewa wanajua sana kutunza ndoa na wanajua kupenda pia, ila tatizo lao wana ulimbukeni wa kupenda kuonekana na kusifiwa hata kwenye hakuna.
Wanapenda sana maisha ya gharama na hasa mavazi, chakula, simu na usafiri, inapotokea ukaoa mwanamke mrefu anayejituma sana ktk kazi ujue hata dharau yake inaweza kuwa kubwa endapo atafanikiwa, kitandani si watamu sana ukilinganisha na kina andunje.
Hawapendi kuolewa na wanaume wafupi na ukikuta mwanamke mrefu kaolewa na mwanaume mfupi ujue 99% kampendea pesa na wakiongozana njiani huwa hawatangulizani pamoja lazima waachane kwa mita kadhaa, nyodo na maringo ndo zao.
Ni wasumbufu kwa mambo mengi sana, kifupi ni bora uoe mwanamke wa saizi ya kati kuliko mrefu, maana ikitokea akawa malaya basi wanajua sana kucheza na wanaume wenye pesa bila kujali afya zao.

Nakuomba achana na viroba ndugu, hujui unachokiongea.
 
Kwanza ufahamu hakuna binadam aliekamilika sote tuna mapungufu vipi we umakamilika Kila sekta?? Huna upungufu hata kidogo???
 
Hizo Nyingine Nakubali Lakini Unaposema Sio Watamu Kitandani, I Doubt It. Kipi Ni Kigezo Cha Kupima Huo Utamu? Na Sampling Yako Umefanya Kwa Mademu WangapI Warefu.
 
Mi napenda sana wanawake warefu wembamba.yaani wenye maumbile ya kimiss...!!!!!
 
Kumbe hamna kwenye afadhal kuna Uzi nimeuona wanawake wafupi wana swimming pool huku tena waref wajeur,wavivu,cio watamu loh mi cjui nijiweke wapi
 
aisee umesema ni
1.wajeuri
2.viburi
3.wanajiamini kupindukia
Ila wengi wao wana hekima sana....hao hao wenye sifa 1,2 ndio wenye hekima?
huyu mleta uzi hajielewi kabisa asituvuruge vichwa vyetu
lini kiburi, jeuri na hekima vikakaa pamoja.?
 
Back
Top Bottom