Unaelewa maana ya mbegu aliyosema mtoa mada lakini?kwa mwanaume, dume la mbegu ni mwanaume ambaye ana uwezo wa kuitimizia familia yake mahitaji yote muhimu, na hata kama uwezo hana, basi atapigana sana kuhakikisha familia yake inaishi kiasi fulani juu ya poverty line!
^
huyo basi hata akijakuwa na watoto, atakuwa amesambaza mbegu njema kwa wanawe!
^
Kwa wafugaji mtanielewa, kuna wakati ukiwa na majike matupu mfano ya kuku basi unalazimika kutafuta dume la mbegu, kazi yake ikiwa ni kutoa mbegu tu. Tabia hii hata kwa binadamu ipo, yapo madume ya mbegu na hizi ndo tabia zao, unakuta mume lakini huduma za mahitaji ya nyumbani yanafanywa na mwanamke, mwanaume wa hivyo ni dume la mbegu, au unakuta mwanaume ana mpenzi lakini hata hamhudumii mwanamke yule, hilo nalo ni dume la mbegu na mujini madume ya mbegu yamejaa teleeeee.
kwa mwanaume, dume la mbegu ni mwanaume ambaye ana uwezo wa kuitimizia familia yake mahitaji yote muhimu, na hata kama uwezo hana, basi atapigana sana kuhakikisha familia yake inaishi kiasi fulani juu ya poverty line!
^
huyo basi hata akijakuwa na watoto, atakuwa amesambaza mbegu njema kwa wanawe!
^
Inamaana leo hii dume ni lile linalokaa kupiga soga, huku mwanamke ndio anaitunza nyumba??, Naona maana ya dume imepotoshwa, na kama hii ndio maana yake, basi wanaume duniani tumeisha, dada zangu wala msisumbuke kutafuta wanaume endeleeni kuwa single kwani hayo ndio madume ya mbengu ya leo..