Hizi ndo tabia za madume ya mbegu.

JEKI

JF-Expert Member
Aug 16, 2013
4,846
2,936
Kwa wafugaji mtanielewa, kuna wakati ukiwa na majike matupu mfano ya kuku basi unalazimika kutafuta dume la mbegu, kazi yake ikiwa ni kutoa mbegu tu. Tabia hii hata kwa binadamu ipo, yapo madume ya mbegu na hizi ndo tabia zao, unakuta mume lakini huduma za mahitaji ya nyumbani yanafanywa na mwanamke, mwanaume wa hivyo ni dume la mbegu, au unakuta mwanaume ana mpenzi lakini hata hamhudumii mwanamke yule, hilo nalo ni dume la mbegu na mujini madume ya mbegu yamejaa teleeeee.
 
kwa mwanaume, dume la mbegu ni mwanaume ambaye ana uwezo wa kuitimizia familia yake mahitaji yote muhimu, na hata kama uwezo hana, basi atapigana sana kuhakikisha familia yake inaishi kiasi fulani juu ya poverty line!

^
huyo basi hata akijakuwa na watoto, atakuwa amesambaza mbegu njema kwa wanawe!

Unaelewa maana ya mbegu aliyosema mtoa mada lakini?
 
Inamaana leo hii dume ni lile linalokaa kupiga soga, huku mwanamke ndio anaitunza nyumba??, Naona maana ya dume imepotoshwa, na kama hii ndio maana yake, basi wanaume duniani tumeisha, dada zangu wala msisumbuke kutafuta wanaume endeleeni kuwa single kwani hayo ndio madume ya mbengu ya leo..
 
Kwa wafugaji mtanielewa, kuna wakati ukiwa na majike matupu mfano ya kuku basi unalazimika kutafuta dume la mbegu, kazi yake ikiwa ni kutoa mbegu tu. Tabia hii hata kwa binadamu ipo, yapo madume ya mbegu na hizi ndo tabia zao, unakuta mume lakini huduma za mahitaji ya nyumbani yanafanywa na mwanamke, mwanaume wa hivyo ni dume la mbegu, au unakuta mwanaume ana mpenzi lakini hata hamhudumii mwanamke yule, hilo nalo ni dume la mbegu na mujini madume ya mbegu yamejaa teleeeee.

Hao unaowaita madume ya mbegu MBONA MBEGU ZAOHAZIONEANI?
 
kwa mwanaume, dume la mbegu ni mwanaume ambaye ana uwezo wa kuitimizia familia yake mahitaji yote muhimu, na hata kama uwezo hana, basi atapigana sana kuhakikisha familia yake inaishi kiasi fulani juu ya poverty line!

^
huyo basi hata akijakuwa na watoto, atakuwa amesambaza mbegu njema kwa wanawe!
^

umekosea mkuu, huyo uliyemuongelea anaitwa mwanaume wa shoka, madume ya mbegu ni yale kula, kulala na kutawanya mbegu.
 
yanatoa mbegu halafu mbegu zenyewe hazina nguvu wala afya..tafakari chukua hatua
 
Inamaana leo hii dume ni lile linalokaa kupiga soga, huku mwanamke ndio anaitunza nyumba??, Naona maana ya dume imepotoshwa, na kama hii ndio maana yake, basi wanaume duniani tumeisha, dada zangu wala msisumbuke kutafuta wanaume endeleeni kuwa single kwani hayo ndio madume ya mbengu ya leo..

kweli, hasa mujini ndo yamejaa madume ya mbegu tu.
 
Similar Discussions

2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom