Ukienda hospital za serikali watakupa za kuanzia hata 3 ili uje siku/saa za Kazi wakupe counselling na watu wenye Ukimwi. Aisee hiyo experience NI hatari sana
Zipo zinazozuia zinaitwa PrEP (Pre Exposure Prophylaxis),hutumiwa zaidi na makundi hatarishi kupata VVU kama madada poa au makaka poa na watu wenye multiple partners wengi, ila lazima utumie kila siku kama ARVs.
Na ukianza kutumia inachukua siku saba mpaka ianze kufanya kazi effectively.
''Is used with other HIVmedications to help control HIV infection. It helps to decrease the amount of HIV in your body so your immune system can work better.''