PEP ni 'post exposure prophylaxis' ni dawa zinazotumika kwa watu ambao wana wasiwasi wa kuambukizwa ukimwi. Kama vile nurse kugusa damu ya mgonjwa wa ukimwi, na hizi ndizo dawa zenyewe za ukimwi. Tofauti ni mtu kuzitumia kwa mwezi mmoja tu.

''Is used with other HIVmedications to help control HIV infection. It helps to decrease the amount of HIV in your body so your immune system can work better.''