Bavaria
JF-Expert Member
- Jun 14, 2011
- 53,092
- 53,568
Hatutoweza kukupa majibu sahihi ki vile mpaka usome page yao ya 4G
Nimeweka link hapo juu na hapa chini....
4G ipo Masaki na Mlimani City area tu kadri ya maelezo ndani ya website yao
Lakini mm nipo Upanga Magharibi napata hiyo 4G
Hauwezi tumia kifurushi cha 3G kupa speed ya 4G lazima ununue kifurushi cha 4G bei yake ni 10,000/= per 1GB per week....
Ikumbukwe line ya 4G inaweza tumika kufanya kazi zote ambazo zinafanywa na line ya 3G hivo naweza kuiita "ALL in 1"
Mikoani watafika August na wanajitaidi kiukweli kwa hapa nilipo
TEMBELEA HAPA Tigo 4G | Tigo.co.tz
Shukrani mkuu
Nipo ndani ya dar ila 3G inapotea yenyewe...
Nitauhama huu mtandao...