Mtu akiwa na urembo basi ule asili awe nao hata kama hajapaka wa kidhungu basi awe anatazamika usoni[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Wanapotoka sana, urembo sio lazima mtu ajibadilishe - kakandika hayo wanaita mamakeup hadi juani yanatiririka kama mto ruvu pyuuuuu!
Sahihi kbsMtu akiwa na urembo basi ule asili awe nao hata kama hajapaka wa kidhungu basi awe anatazamika usoni[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
mmhMwanamke mzuri ni yule anayejua kutafuta chapaa mwenyewe,anayejua dhamani yake na anayejitambua
Aibu nayo n mbayaNdiyo, anaweza kuwa anafanya kwa siri kumbe mwenzie anajua kila kitu
siku akiambiwa ulifanya hivi anabaki [emoji15] [emoji15] kumbe unajua, aibu hiyo
Hahaaa. Kweli kabisa Mbalizi sio ukikaa na mtu kakija kaupepo unasikia kaharufu fulani kamepita basi shida tupu.Kwakweli hapana aiseee, kwanza zinanikata kbs stimu hata mzuka wote unalala mbele aaaarrrgh. Ukute mtu natural baana , msafiiiiiii na ana nukia ile harufu ya binadamu kama waijua- hapo mambo yanakuwa safi sana
Hata mim napenda wa hvyoNiliwahi sikia mbaba anasema nitaishi vipi na mwanamke asiye niuliza nipo wapi kila kitu sawa lazima anilinde ajue nafanya nini nimekula nini, upole wakijinga jinga sitaki mke wa hivyo
Unakumbuka kale kamnukio kanakopatikana kijasho chembamba kinapokuwa kunatiririka hasa kwapani? Pumzi zinapokuwa zimejaa kifuani, hisia zinapokuwa juu na midundo motomoto ya sauti za chini chini zisindikizwapo na ala za sauti zisizokuwa nyimbo bali minong'ono na miguno!! Pale pahala acha achaaaa aaachaaaaaa Hajar.Hahaaa. Kweli kabisa Mbalizi sio ukikaa na mtu kakija kaupepo unasikia kaharufu fulani kamepita basi shida tupu.
Japokuwa kwa karne tuliyonayo sasa walio natural wanahesabika yaani.
Ila nimecheka Mbalizi inamaana umri huu Hajar hajui harufu ya binadamu lol.
Hahahaaa. Nimecheka sana Mbalizi na ile ndio harufu ya binadamu sasa.Unakumbuka kale kamnukio kanakopatikana kijasho chembamba kinapokuwa kunatiririka hasa kwapani? Pumzi zinapokuwa zimejaa kifuani, hisia zinapokuwa juu na midundo motomoto ya sauti za chini chini zisindikizwapo na ala za sauti zisizokuwa nyimbo bali minong'ono na miguno!! Pale pahala acha achaaaa aaachaaaaaa Hajar.
Sikutaka kukusemea ndio vile nikaandika kwa mtindo wa kuuliza, ahhahaa
Yenyewe mwanamke wa hvoNiliwahi sikia mbaba anasema nitaishi vipi na mwanamke asiye niuliza nipo wapi kila kitu sawa lazima anilinde ajue nafanya nini nimekula nini, upole wakijinga jinga sitaki mke wa hivyo
Yaani ww Hajar unatembea mulemule, watoto wa mjini wanasema unanata na beat hahahaaHahahaaa. Nimecheka sana Mbalizi na ile ndio harufu ya binadamu sasa.
Sio mtu likitoka lile la kwapani basi na kichwani hajiwezi jasho linaanza kuchuruzika tokea kichwani likiwa na mchanganyiko wa uvundo. Lol. Hatari sana Mbalizi.
Davet njoo huku Mbalizi anavunja mbavu za Hajar. Teh.
Hahaaa. Kweli kabisa Mbalizi sio ukikaa na mtu kakija kaupepo unasikia kaharufu fulani kamepita basi shida tupu.
Japokuwa kwa karne tuliyonayo sasa walio natural wanahesabika yaani.
Ila nimecheka Mbalizi inamaana umri huu Hajar hajui harufu ya binadamu lol.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Aisee!! Mmeshakutana tenaHahahaaa. Nimecheka sana Mbalizi na ile ndio harufu ya binadamu sasa.
Sio mtu likitoka lile la kwapani basi na kichwani hajiwezi jasho linaanza kuchuruzika tokea kichwani likiwa na mchanganyiko wa uvundo. Lol. Hatari sana Mbalizi.
Davet njoo huku Mbalizi anavunja mbavu za Hajar. Teh.
Hahahaaa. Haya bana Mbalizi.Yaani ww Hajar unatembea mulemule, watoto wa mjini wanasema unanata na beat hahahaa
Hahahaaaa. Rafiki utamuweza Mbalizi zake.[emoji85][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Aisee!! Mmeshakutana tena
Umeanza na ww! Vipi jana hujatenguliwa kiuno kule?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Aisee!! Mmeshakutana tena