Mmejuaje kuwa ni madawa ya kulevya???
Inawezekana ikawa pombe, huwa tunajiaminisha kuwa mtu akiwa bwese hajitambui basi itakuwa ni albadiri ya kihindi.
Wakati pombe inaweza kuleta matokeo kama hayo kwenye picha.
Pombe inaua sana watu bongo, ila ndio inayofadhili matamasha kwa hiyo wasanii wakizima inasingiziwa bangi.... thats messed up.
ukiwa kama mzazi inasikitisha sana eeehh Mungu waongozi vijana wajitambue masikini Ray C
Mzenji anateteea ungaMmejuaje kuwa ni madawa ya kulevya???
Inawezekana ikawa pombe, huwa tunajiaminisha kuwa mtu akiwa bwese hajitambui basi itakuwa ni albadiri ya kihindi.
Wakati pombe inaweza kuleta matokeo kama hayo kwenye picha.
Pombe inaua sana watu bongo, ila ndio inayofadhili matamasha kwa hiyo wasanii wakizima inasingiziwa bangi.... thats messed up.
Yani ni Mwenyenzi MUNGU pekee akawakumbuke vijana wetu!
Yani siamini kama ni yeye Ray C ninayemkumbuka enzi yake!
Ama kweli maombi yanahitajika!