Hizi ndizo Picha za RayC Alivyoathiriwa na Madawa ya Kulevya-Inatia Huruma

MaxShimba

JF-Expert Member
Apr 11, 2008
35,772
4,054
ray+c.jpg

RAY+C+3.jpg

ray+c2.jpg

HAYA NDO MADHARA YA BANGI NA MADAWA YA KULEVYA......NI BORA TUJIFUNZE KUTOKANA NA MAKOSA.... RAY C ANATIA HURUMA.LAWAMA ZOTE ZIMEELEKEZWA KWA LORD EYEZ AMAYE NDIYE ALIYEMFUNZA KUTUMIA MADAWA YA KULEVYA SHUKRANI ZA DHATI KWA GLOBAL PUBLISHER: HABARI IMEANDIKWA KWA KIREFUKATIKA GAZETI LA LEO LA IJUMAA
 
Kila jambo na mwisho wake..Huyu dada alilkuwa anavuma kama si yeye vile alipo leo..hakika kutesa kwa zamu

CHINI YA JUA MAMBO YOTE NI UBATILI...
 
Mkuu rekebisha heading badala ya Ray andika Ray C.

Pia hii topic ipo tayari mtandaoni tangu jana hivyo MOD tunaomba uzinganishe zote.
 
Haya ndo matatizo ya celebrities na mastaa wetu, wengi kama siyo wote mwisho wao hua ni mbaya. nafikiri kuna haja ya kuwepo na kitengo cha ushauri kwa watu wanaopata umaarufu bila kuwa na skills za maisha. pia wasanii kuwa na mameneja wanaoeleweka na wenyenidhamu za kiutawala ili kuweza kuwasaidia
anyway pole zake, mi nilikuwa mmoja wa washabiki wake bana
 
Mmejuaje kuwa ni madawa ya kulevya???
Inawezekana ikawa pombe, huwa tunajiaminisha kuwa mtu akiwa bwese hajitambui basi itakuwa ni albadiri ya kihindi.
Wakati pombe inaweza kuleta matokeo kama hayo kwenye picha.
Pombe inaua sana watu bongo, ila ndio inayofadhili matamasha kwa hiyo wasanii wakizima inasingiziwa bangi.... thats messed up.
 
dah kweli maisha yanabadilika!
hii hali inaumiza sana jamani, naamini kuna watu wenye uelewa na hali hii, kwa kweli huyu rehema anahitaji msaada walau wa ushauri na matibabu.
dah kweli kuzaa si kazi bali kulea.......hapa mama mzazi lazima analia kila saa
 
Mmejuaje kuwa ni madawa ya kulevya???
Inawezekana ikawa pombe, huwa tunajiaminisha kuwa mtu akiwa bwese hajitambui basi itakuwa ni albadiri ya kihindi.
Wakati pombe inaweza kuleta matokeo kama hayo kwenye picha.
Pombe inaua sana watu bongo, ila ndio inayofadhili matamasha kwa hiyo wasanii wakizima inasingiziwa bangi.... thats messed up.

Actually POMBE ni dawa ya kulevya, ila TRA wanaikingia kifua sababu mtumiaji wake anaweza kuiletea mapato makubwa Govt kwa miaka mingi sana kabla hajapata madhara makubwa ya kumfanya ashindwe kulipa kodi. Pombe is excellent, ukiacha ajali za hapa na pale.
 
Nadhani hii itakuwa somo kwa malimbukeni wengine wanaoitwa masupastaa. Ukisema unaonekana unawaonea wivu eti kwa vile wanajiona wanatesa wasijue wanateseka. Wengi watafutatia. Ni janga la kitaifa haswa. Bahati mbaya wauza miunga wenyewe wana madaraka na wanajuana na wakubwa na hakuna wa kuwagusa. Wako wapi wauza unga rais aliotwambia ana orodha yao? Money talks.
 
mavuno ya kupenda kutumia vya dunia kuna vitu vingine sivya kujaribu kabisa hata kama humchi Mungu
 
Mmejuaje kuwa ni madawa ya kulevya???
Inawezekana ikawa pombe, huwa tunajiaminisha kuwa mtu akiwa bwese hajitambui basi itakuwa ni albadiri ya kihindi.
Wakati pombe inaweza kuleta matokeo kama hayo kwenye picha.
Pombe inaua sana watu bongo, ila ndio inayofadhili matamasha kwa hiyo wasanii wakizima inasingiziwa bangi.... thats messed up.
Mzenji anateteea unga
 
Yani ni Mwenyenzi MUNGU pekee akawakumbuke vijana wetu!
Yani siamini kama ni yeye Ray C ninayemkumbuka enzi yake!
Ama kweli maombi yanahitajika!

ni kweli LiverpoolFC unapomwona mtoto wa mwenzako anafikia hivyo unaumia unafikiri hivi imekuwaje hadi kufikia hivyo unamwita muumba wako asaidie isitoke kwako nasema mara nyingi wazazi tushikamane kuombea vijana wetu
 
Last edited by a moderator:
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom