Hizi ndizo Picha za RayC Alivyoathiriwa na Madawa ya Kulevya-Inatia Huruma

It hurts so much kumuona yuko ktk state hyo! Ila hajachelewa, anaweza akapata counseling, akawekwa ktk rehab program na akarudi kuwa normal. Inawezekana anatamani mtu wa kumshika mkono atoke huko ila nani afanye hlo? Dha! Mungu linda uzao wangu na dhahma hizi!
 
Kweli si vyote ving'aavyo ni dhahabu! Na hao malimbukeni wengine wajifunze kutokana na hilo.
 
Wakati muafaka wa kumlala..teja likiwa na arosto unalipata hata kwa jero..keep it up ray c
 
Ray+C.gif


Looooo !!!!!
 
images



Mama mzazi wa Ray C Magret Mtweve, " Nimekuwa nikizunguka kwenye makanisa mbalimbali kumuombea njia, naona ameanza kuleta matumaini....."
 
Shangazi Mhe. Betty Mkwasa mfuatilie binti yako Ray C, hata kama alikuudhi vipi msamehe. Waswahili wansema mtoto akikunyea mkononi utaukata huo mkono?
 
ni kweli LiverpoolFC unapomwona mtoto wa mwenzako anafikia hivyo unaumia unafikiri hivi imekuwaje hadi kufikia hivyo unamwita muumba wako asaidie isitoke kwako nasema mara nyingi wazazi tushikamane kuombea vijana wetu

Umesema jambo la msingi sana. Kumbuka wakati wote kuombea familia yako na wote wakuzungukao, mharibifu yuko kila mahali akiwawinda awaangamize.

Muhimu hapa ni kuombea familia ya Chalamila ili binti yao awe huru kutoka kwenye kifungo cha madawa ya kulevya na sio kubeza au kuleta masikhara kwani jambo hili laweza kumkuta mtu yeyote yule.
 
Back
Top Bottom