Hizi ndizo LIKE nzuri za Jamii Forum

kuchangumu

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2014
Posts
724
Reaction score
290
Habari za jumatatu wakuu!
Kwa kifupi tumezoea kuona LIKE kule facebook na kama ni maarufu kuna watu wanapata like hata mil na wengine maelfu
Tufanye zoezi moja hapa wanajf tugoge LIKE kwenye huu uzi tuone na sisi huku jf tutaenda elfu ngapi?
Gonga LIKE mkuu upite.
 
mitando ukimisuse hizi ndo results
 
mbona hujasema kuhusu reputation power?

ama bado hujazijua?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…