Daniel Mbega
JF-Expert Member
- Mar 20, 2013
- 338
- 180
Kabla hata gesi hiyo haijawanufaisha Watanzania wote, mkoa wa Lindi ulikuwa wa kwanza kunufaika na uzalishaji wa gesi asilia kupitia Mradi wa Gesi Asilia wa Songo Songo.
Soma zaidi hapa=> http://www.fikrapevu.com/hizi-ndizo-faida-za-gesi-asilia-kwa-mikoa-ya-lindi-mtwara/