Antachable_kid
Member
- Jun 20, 2012
- 94
- 40
iphone imekosekana maana apple ni company na sio cmu
iphone imekosekana maana apple ni company na sio cmu
Hoja yako yakwamba TECNO wamebase Africa inamlengo gani? Katika orodha yote hakuna simu iliyokuwa specified kwa ajili ya nchi fulani. Inaonekana wewe bado unakasumba ya uzungu na uarabu kwamba ni bora kuliko uafrica. Pole ndugu toka utumwani.
...kama hizi ndo fikra za vijana wa-kitanzania tunaowaita wasomi!!!???....basi Tanzania inasafari ndefu sana na sidhani kama ile sera ya David Cameron na Obama itapata upinzani hapa nyumbani kama ilivyopata Uganda kutoka kwa mzee Museveni....
Iphone and Techno