Hizi ndizo aina za simu(Brand) duaniani kote...

Hizi ndizo aina za simu(Brand) duaniani kote...

Iphone and Techno

Tecno wamebase only Africa eg.Nigeria, kenya, Tanzania...nk nahisi ndio sababu yakuto kuwa kwenye iyo link
 
Singsung, Samsang, Sumsung, Brackberry, G-Tide, Phillips etc
 
OKiNG 0„3tel Nonia, landlover, xenon,xytel
 
Apple sio simu, ni company.
Kweli kabisa, lakini the way alivyoiweka mtoa mada ni kana kwamba hizo Iphone zinamezwa na hiyo Apple zajo sio sahihi sana, kwani Apple wanatengeza vitu zaidi ya simu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom