Hizi ndio za uswazi

Hizi ndio za uswazi

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,456
Reaction score
872,092
1412523990997.jpg
 
Jamaa yuko foleni.ya kuingia malowatoni.ili awahi kibaruani.

Ee bwana wenye nyumba wana visa kuna hii kali ilimkuta jamaaa baba mwenye nyumba kuwahi kuweka ndoo ya maji bafuni ilhali akijua kuna wapangaji wanajikimu kuwahi maofisini basi itakaa mpaka saa moja wamsubirie aoge ndio wao waingie huyu alikuwa na visa kama mchawi tembea uone.
 
jamani humalizi? mwenzio nataka kuingia.
 
Ee bwana wenye nyumba wana visa kuna hii kali ilimkuta jamaaa baba mwenye nyumba kuwahi kuweka ndoo ya maji bafuni ilhali akijua kuna wapangaji wanajikimu kuwahi maofisini basi itakaa mpaka saa moja wamsubirie aoge ndio wao waingie huyu alikuwa na visa kama mchawi tembea uone.

Ukitaka kuyafaidi maisha katika uhalisia wake ishi nyumba ya kupanga uswazi yenye wapangaji wengi na mwenyenyumba humohumo hafu awe hana kazi na ana mabinti
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom