Hizi ndio tarehe rahisi kutongoza mwanamke

Hizi ndio tarehe rahisi kutongoza mwanamke

Old Member (Retired)

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2012
Posts
3,401
Reaction score
1,618
Kama kuna mwanamke umekuwa ukimfukuzia kwa muda mrefu na amekuwa akikusumbua na unafahamu fika mwanamke huyo anapenda pesa basi zingatia hili.

Tarehe nzuri kutongoza ni kuanzia tarehe 13 mpaka tarehe 24. Kwanini? Kwasababu ikishafika tarehe kumi na kitu kama mwanamke huyo ni mfanyakazi basi hesabu kuwa mshahara wake umeshaisha muda huo anaishi kwa madeni (mishahara ya mjini wote mnaijua)

Au kama anamtegemea jamaa yake kipindi hicho jamaa anakuwa kaishiwa mshahara au kama anategemea wazazi au walezi wake huo muda akiomba hata pesa ya saloon ni ngumu kupewa.

Hakikisha kuwa mwisho ni tarehe 24 kwakuwa kuanzia tarehe 25 mishahara huanza kuingia.

Posted by: MCHUNGUZI HURU (Associate Professor)
 
me nawaonaga tu wanavonikodolea mimacho ninavogongaga kesto lite zangu bar tarehe hizo
 
Huu utafiti uliufanyia eneo gani huku kwetu Mkulanga hatuna mishaara zaidi ya msimu wa mavuno...kama kipindi hiki ndio tunakula vyetu kuanzia October weee tunapaukaje hii ni mpaka mwezi wa tano next year.
 
Utafiti wako ulihusisha wanajeshi wa kike pia?
 
MCHUNGUZI HURU

Umechemka. Ni hivi kwa anayefanya kazi, mwisho wa mwezi ndio tarehe za kuvuna toka kwa bf wake, hivyo atazitumiaa hadi tarehe hizi bf kaishiwa ndio yeye anaanza kutumia mshahara wake, taratibu bila bf kujua, unajua wanawake walivyo wabinafsi (sio wote). Chunguza tena!
 
Last edited by a moderator:
Hivi ni kweli wanawake wote wapo after money?
Kiasi kwamba una guarantee ya kumpata akiwa na shida ya hela?
 
Hivi leo tarehe ngapi?
Na sie majobless tarehe nzuri ya kutongozwa ni ipi?
 
Dah kwahiyo Kwa Wale tusio na kazi Haturuhusiwi Kutongoza?
 
Back
Top Bottom