Registered_jf
JF-Expert Member
- Nov 27, 2024
- 1,130
- 1,914
Hawa kwenye picha ni genuine kabisaKama wanaigiza na wewe kaigize...
Miaka 35+ hakuna kuigiza hapo
Nilifikiri amemaanisha hawa walivyo kwenye picha after 35yrs basi hamna maigizo, ni genuine.Hayanaga muongozo mkuu. Mimi kuna mzee mmoja jirani yangu katalikiana na mkewe wakati wote wawili tayari ni wazee (miaka 65+). Sina uhakika wameishi miaka mingapi, lakini mtoto wao wa kwanza ni baba mtu mzima above 40
Umedadavua vyema.Nilifikiri amemaanisha hawa walivyo kwenye picha after 35yrs basi hamna maigizo, ni genuine.
Wale wa 35+yrs kulea watoto mbona wanajulikana.
Kwanza picha zao za pamoja utazipata kwa bahato mbaya, utakuta ndugu alilazimisha kuwapiga picha.
Pili hawagusani hata kwa bahati mbaya.
Tatu wakigusana unaona kabisa anayeguzwa ni kama anaomba msaada kutolewa eneo hilo.
Sijui niendelee au niachane na yasiyonihusu
Safi sana.Hahaha sina neno shindii