Hiyo ya FRP umebug maana simu ikiwa haina Lock ni kiasi cha kunavigate hadi kwenye Accounts then unadelete au kuchange kabla ya kufanya factory reset.Kila mmoja ana mtazamo wake kuhusu kufunga simu au kutofunga hizi hapa ni baadhi ya faida za kutofunga.
1. Faida ya kwanza. Binadamu tunatembelea hatujui hata sek 1 ijayo,unaweza kudondoka ghafla na ikakosa msaada kama umefunga simu yako. Huwezi kuongea wala kugusa kitu. Cha kwanza huwa zinatafutwa no unazowasiliana nazo kwa ukawaida zinapogwa ili kupewa taarifa. Kama umelock wahuni watatembea na simu na utabak hapohapo.
2. Faida ya pili. Ukiibiwa simu kama iko locked cha kwanza kabisa mwizi anawaza jinsi ya kuibanjua ili auze au atumie mwenyewe. Akienda kuflash au kurestore kila kitu kinafutika. Ila kama haijafungwa mwizi anaweza kuitumia hivyo hivyo bila kufuta au kuanzisha upya akihofia Factory Reset Protection (FRP) akitumia hivyo hivyo unaweza kutrack na kuipata simu yako.
Hizo ndio faida za kutofunga simu. No 2 ndio ilinifanya nipate simu yangu baada ya kuibiwa wk mbili hivi. Kama una hoja tofauti karibu mezani
Mkuu huo muda wa kutoa line yeye hana yeye anataka kutoa taarifa tu na achukue kifaa chake mpaka atafute pin ni saa ngap anaweza kukamatwa na mtu mwingineHivyo mkuu unatushauli tuache makufuli wazi..??
Ila mtu afanye kitu kutokana na umuhimu wa hicho kitu! Kuna watu wamejaza mi xxx tu kwenye simu zao halafu kaweka password ngumu..😂
Hata ukifanikiwa kuijua hiyo password utakuta mi application ya udaku tu mara kikundi cha uanachama wa watu warefu duniani!… Mwengine pekupeku kundi!..
Hata hivyo mkuu ipo namna ya kuset ili kupatikana kwa hizo taarifa muhimu hata kukiwa na password.. hayo yameshafundishwa humu ila hata hivyo binafsi uchi sikai.. kwani hata kutoa line na kupiga watashindwa..?? Labda kama wao sio wasaidizi..😜
Teh teh...nacheka kigazeti. Labda kama unatumia android 5 au Tecno ndio maana unasema hivyoHiyo ya FRP umebug maana simu ikiwa haina Lock maani ni kiasi cha kunavigate hadi kwenye Accounts then unadelete au kuchange kabla ya kufanya factory reset.
Hata kule Developer option kuna namna ya kuichenga FRP
No 1 anaweza kutoa lain na kuweka ktka cm ake na kupgiwa ndugu cm lazma ifungwe..kuna mambo mengi ndani ya cm...mengine ni siri ya jeshiKila mmoja ana mtazamo wake kuhusu kufunga simu au kutofunga hizi hapa ni baadhi ya faida za kutofunga.
1. Faida ya kwanza. Binadamu tunatembelea hatujui hata sek 1 ijayo,unaweza kudondoka ghafla na ikakosa msaada kama umefunga simu yako. Huwezi kuongea wala kugusa kitu. Cha kwanza huwa zinatafutwa no unazowasiliana nazo kwa ukawaida zinapogwa ili kupewa taarifa. Kama umelock wahuni watatembea na simu na utabak hapohapo.
2. Faida ya pili. Ukiibiwa simu kama iko locked cha kwanza kabisa mwizi anawaza jinsi ya kuibanjua ili auze au atumie mwenyewe. Akienda kuflash au kurestore kila kitu kinafutika. Ila kama haijafungwa mwizi anaweza kuitumia hivyo hivyo bila kufuta au kuanzisha upya akihofia Factory Reset Protection (FRP) akitumia hivyo hivyo unaweza kutrack na kuipata simu yako.
Hizo ndio faida za kutofunga simu. No 2 ndio ilinifanya nipate simu yangu baada ya kuibiwa wk mbili hivi. Kama una hoja tofauti karibu mezani
Ni
Tajie hasara 3 tu ambazo ni kubwa kuliko hizo Faida
hadi miguuni ?Aya tufanya kakatika viganja kwenye aksident unafanyaje?
Ndio mana inashauriwa baada kumaliza kuperuzi kwenye mitandao toka nje (logout) hiyo ni kwa usalama zaidi.1: kupost vitu vitakavyokufanya uonekane kituko kwenye jamii katika mitandao ya kijamii, wengi wetu hatu logout kwenye accounts zetu
2:kuvunja mahusiano
3:Ndugu/watu uliowasevu kuambiwa watume pesa kwa haraka umepata tatizo
Haujawahi kumsikia waziri Mwakyembe kuwa ni kosa kisheria kutoifunga simu yako, unafundisha watu kuvunja sheria.Kila mmoja ana mtazamo wake kuhusu kufunga simu au kutofunga hizi hapa ni baadhi ya faida za kutofunga.
1. Faida ya kwanza. Binadamu tunatembelea hatujui hata sek 1 ijayo,unaweza kudondoka ghafla na ikakosa msaada kama umefunga simu yako. Huwezi kuongea wala kugusa kitu. Cha kwanza huwa zinatafutwa no unazowasiliana nazo kwa ukawaida zinapogwa ili kupewa taarifa. Kama umelock wahuni watatembea na simu na utabak hapohapo.
2. Faida ya pili. Ukiibiwa simu kama iko locked cha kwanza kabisa mwizi anawaza jinsi ya kuibanjua ili auze au atumie mwenyewe. Akienda kuflash au kurestore kila kitu kinafutika. Ila kama haijafungwa mwizi anaweza kuitumia hivyo hivyo bila kufuta au kuanzisha upya akihofia Factory Reset Protection (FRP) akitumia hivyo hivyo unaweza kutrack na kuipata simu yako.
Hizo ndio faida za kutofunga simu. No 2 ndio ilinifanya nipate simu yangu baada ya kuibiwa wk mbili hivi. Kama una hoja tofauti karibu mezani
Siri ya jeshi ndani ya simu binafsi!?No 1 anaweza kutoa lain na kuweka ktka cm ake na kupgiwa ndugu cm lazma ifungwe..kuna mambo mengi ndani ya cm...mengine ni siri ya jeshi