Hizi ndio faida na hasara ya kazi yangu

smarte_r

JF-Expert Member
Nov 8, 2013
4,538
11,868
Kuna baadhi ya watu unapokutana nao, baada ya utambulisho swali la kwanza huwa wanauliza aina ya kazi unayofanya na changamoto zake.

Kwa desturi zetu waswahili huwa inachukua mda kidogo kufunguka kiundani kwa mtu kuhusu kazi tunazofanya.

Kwa baadhi ya watu wa mataifa mengine, mnapokutana ni jambo la kawaida kukuelezea kazi anayofanya. hili linafanyika katika hatua za awali za kufahamiana kwenu.

Kila kazi ina faida na hasara zake(pros and cons).

Hizi ndio pros and cons za kazi yangu.

Pros: nafanya kazi ktk mazingira yenye chumba chenye ubaridi mkali sana. hii ni kwasababu chumba hicho kimefungwa high tech facilities zinazohitaji ubaridi mda wote.
Hapa sizungumzi ubaridi wa zile domestic air conditioner za majumbani, nazungumzia industrial air conditioner. technically hairusiwi kuzima au kupunguza ubaridi labda iwe kwa ruhusa maalumu ya chief engineer.

Cons: kwa mtu mwenye afya dhaifu, ubaridi huu unaweza kumletea shida. binafsi huwa unaniletea matatizo ya kiafya. kwa maana hiyo kila mara niendapo kazini natakiwa nibebe sweta. kwangu naona kero kubeba sweta kazini kila siku.

Pros: kazi yangu inanifanya niwe nasafiri mara kwa mara ndani ya tanzania na nchi jirani. hii kwangu huwa inanipa furaha kwasababu napenda sana kusafiri. sijawahi kupita miezi miwili au mitatu bila kusafiri.

Cons: kusafiri kuna changamoto zake hasa kama unatumia usafiri wa gari. na changomoto moja wapo ni hofu ya kupata ajari au kushuhudia ajari mbalimbali za barabarani walizopata watu wengine. hii imenipa emotional trauma maana tayari nimeshudia ajari kadhaa za barabarani.

Pros: kula bata baada ya kazi ninapokuwa safarini. mara nyingi safari za kiofisi huwa zinasimamiwa na taasisi iliyoniajiri. ile traveling allowance ninayopewa na ofisi huwa ina gharamia masuala yote ya malazi, chakula na bata. katika hili ni mara chache sana huwa natumia pesa yangu binafsi nje ya travelling allowance.

Cons: hasara ya travelling allowance ni kurudisha risiti ofisini mara tu unaporejea kutoka safarini. zoezi la kurejesha risiti ofisini kuwa silipendi hasa pale accountant anapotaka hesabu ya kwenye risiti iendanane na kiwango cha travelling allowance uliyopewa na ofisi, otherwise inabidi utoe maelezo ya kuridhisha. sitaeleza ni michezo gani inafanyika kukwepa jambo hili.

Pros: nafanya kazi katika mazingira yanayohitaji team work. moja watu ambao huwa nai interact nao mara kwa mara ni engineers wa fani mbalimbali. sikusomea masuala ya uhandisi but kitendo cha kujichanganya na wahandisi ninapokuwa kazini kimekuwa na faida kwangu kwasababu kinanipa nafasi ya kujifunza baadhi ya vitu vya kihandisi toka kwao.

Cons: kuna wakati linaweza kutokea tatizo dogo but very technical linalomuhitaji engineer incharge aje a troubleshoot. endapo kama engineer incharge yupo mbali na eneo la kazi inanibidi mimi nijiongeze. kushindwa kufanya hivyo itasababisha wenzako wakuchulia wewe ni kilaza. but ukifanikiwa inakuongezea
credit kazini.

Pros : kazi ninayofanya inanitaka niwe naendana na kasi ya mabadiliko ya teknolojia. kila baada ya wakati fulani nabadilishiwa mfumo wa program za computer ninazotumia. kwa watu wanaofanya kazi ambazo ni 100% computer based huwa inaleta raha sana kufanya kazi kupitia programs iliyofanyiwa upgrade na features mpya.

Cons: hasara ya program mpya za computer zinataka kila mara uwe unajifunza vita vipya vinayokuja nayo. hii inafanya nijihisi kama mwanafunzi ninayerudi upya college. huwa inakera sometimes.na usipofanya hivyo efficiency yako kikazi itakuwa chini.

Haya na wewe aleza pros and cons za kazi yako.
 
kuna baadhi ya watu unapokutana nao, baada ya utambulisho swali la kwanza huwa wanauliza aina ya kazi unayofanya na changamoto zake.

kwa desturi zetu waswahili huwa inachukua mda kidogo kufunguka kiundani kwa mtu kuhusu kazi tunazofanya.

kwa baadhi ya watu wa mataifa mengine, mnapokutana ni jambo la kawaida kukuelezea kazi anayofanya. hili linafanyika katika hatua za awali za kufahamiana kwenu.

kila kazi ina faida na hasara zake(pros and cons).

hizi ndio pros and cons za kazi yangu.

pros: nafanya kazi ktk mazingira yenye chumba chenye ubaridi mkali sana. hii ni kwasababu chumba hicho kimefungwa high tech facilities zinazohitaji ubaridi mda wote.
hapa sizungumzi ubaridi wa zile domestic air conditioner za majumbani, nazungumzia industrial air conditioner. technically hairusiwi kuzima au kupunguza ubaridi labda iwe kwa ruhusa maalumu ya chief engineer.

cons: kwa mtu mwenye afya dhaifu, ubaridi huu unaweza kumletea shida. binafsi huwa unaniletea matatizo ya kiafya. kwa maana hiyo kila mara niendapo kazini natakiwa nibebe sweta. kwangu naona kero kubeba sweta kazini siku.

pros: kazi yangu inanifanya niwe nasafiri mara kwa mara ndani ya tanzania na nchi jirani. hii kwangu huwa inanipa furaha kwasababu napenda sana kusafiri. sijawahi kupita miezi miwili au mitatu bila kusafiri.

cons: kusafiri kuna changamoto zake hasa kama unatumia usafiri wa gari. na changomoto moja wapo ni hofu ya kupata ajari au kushuhudia ajari mbalimbali za barabarani walizopata watu wengine. hii imenipa emotional trauma maana tayari nimeshudia ajari kadhaa za barabarani.

pros: kula bata baada ya kazi ninapokuwa safarini. mara nyingi safari za kiofisi huwa zinasimamiwa na taasisi iliyoniajiri. ile traveling allowance ninayopewa na ofisi huwa ina gharamia masuala yote ya malazi, chakula na bata. katika hili ni mara chache sana huwa natumia pesa yangu binafsi nje ya travelling allowance.

cons: hasara ya travelling allowance ni kurudisha risiti ofisini mara tu unaporejea kutoka safarini. zoezi la kurejesha risiti ofisini kuwa silipendi hasa pale accountant anapotaka hesabu ya kwenye risiti iendanane na kiwango cha travelling allowance uliyopewa na ofisi, otherwise inabidi utoe maelezo ya kuridhisha. sitaeleza ni michezo gani inafanyika kukwepa jambo hili.

pros: nafanya kazi katika mazingira yanayohitaji team work. moja watu ambao huwa nai interact nao mara kwa mara ni engineers wa fani mbalimbali. sikusomea masuala ya uhandisi but kitendo cha kujichanganya na wahandisi ninapokuwa kazini kimekuwa na faida kwangu kwasababu kinanipa nafasi ya kujifunza baadhi ya vitu vya kihandisi toka kwao.

cons: kuna wakati linaweza kutokea tatizo dogo but very technical linalomuhitaji engineer incharge aje a troubleshoot. endapo kama engineer incharge yupo mbali na eneo la kazi inanibidi mimi nijiongeze. kushindwa kufanya hivyo itasababisha wenzako wakuchulia wewe ni kilaza. but ukifanikiwa inakuongezea
credit kazini.

pros : kazi ninayofanya inanitaka niwe naendana na kasi ya mabadiliko ya teknolojia. kila baada ya wakati fulani nabadilishiwa mfumo wa program za computer ninazotumia. kwa watu wanaofanya kazi ambazo ni 100% computer based huwa inaleta raha sana kufanya kazi kupitia programs iliyofanyiwa upgrade na features mpya.

cons: hasara ya program mpya za computer zinataka kila mara uwe unajifunza vita vipya vinayokuja nayo. hii inafanya nijihisi kama mwanafunzi ninayerudi upya college. huwa inakera sometimes.na usipofanya hivyo efficiency yako kikazi itakuwa chini.

haya na wewe aleza pros and cons za kazi yako.
ukiwa na kazi ya pesa kama hivyo, maana unaweza kuwa na kazi ya viboko kama punda.
 
Nikiingia tu Kaizini kwangu nanusa harufu ya uvundo usio mithilika,aisee kazi zingine we acha tu.
 
Back
Top Bottom