state agent
JF-Expert Member
- Jul 1, 2019
- 1,764
- 2,511
Wana ukumbi!
Baada ya vyma vya NCCR Mageuzi,Chama Cha ukombozi wa Umma(CHAUMA) Na kile cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kukaidi amri halali ya waziri wa TAMISEMI mh Suleiman Jafo ya kuwaruhusu wanachama wao waliomba ridhaa ya ugombezi imebainika kuwa hizi ndio adhabu mbili kuu ambazo vyama hivyo vyaweza kukumbana nazo:
1. Hukumu ya kiserkali
Kuzuiliwa ruzuku
Juzi mh rais amemuapisha CAG Mpya na moja ya kazi zake ni kupitia upya ufisadi mkubwa kwenye vyama vya siasa hasa baada ya vyama vingi kupata hati chafu kwa miaka mingi .Vyama vinapokea pesa nyingi lakini hazitumiki ipasavyo kwani moja ya matumizi ni kufanyia kampaini za chaguzi hii kuu mbili ule wa TAMISEMI na ule mkuu kwa maana hiyo CAG tamwandikia batua msajili wa vyama juu ya kadhia hii na msajili atasitisha ruzuku Mara moja .
2.
Hukumu ya wananchi 2020
Sisi tutakuwa tuanahudumiwa na makada wa chama tawala CCM mpaka 2020 hadi 2024 kimsingi tutakuwa tumesha waelewa CCM na hivyo kuwaona ndio watu wetu na kuwasahau kabisa upinzani maana hawatahusika na
a/barua za udhamini hasa mikopo,manunuzi kama viwanja na nyumba,udhamini wa kijinai,
b/wadau wa maendeleo mtaani na vijijini
c/ michezo na utamaduni
Huku ndiko kura hukea na sisi tutwaadhibu hawa walitusaliti
State agent